Pre GE2025 TEC ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA".

Hivi hili baraza la maaskofu katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi ?

Kwa nini mijadala mingi na mambo mengi ya kisiasa wanakuwa nayo kimbelembele kuyazungumzia na kuyatolea matamko na waraka lakini mambo yao ya kidini yanayo husisha masuala kadha wa kadha yenye mikanganyiko wanaficha vichwa ndani ya mashuka na kukaa kimya kama hawajui chochote kile ?

Kwani nini TEC isisajiliwe rasmi na kujulikana chama cha kisiasa official kuliko haya maigizo yanayo endelea ?
Wana uwezo mkubwa kichwani
 
Kuwa viongozi wa dini haiwazuii kuikosoa serikali kwani na wao ni sehemu ya wananchi wakitanzania mbona hao viongozi wa dini wanaoleta uchawa kwakusifia tuu serikali mbona hua uulizi hili swali
TEC ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi ?
 
Huelewi wabarikiwa wanavyokuwa kimbelembele kila sehemu?

Kitu cha kwanza ambacho wabarikiwa wanaondolewa ni haya, hawana haya hao wala hawajuwi vibaya.
Wanapenda siasa ili kuweka mrija hazina,Wala Bure wamezowea burebure
 
Nafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA".

Hivi hili baraza la maaskofu katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi ?

Kwa nini mijadala mingi na mambo mengi ya kisiasa wanakuwa nayo kimbelembele kuyazungumzia na kuyatolea matamko na waraka lakini mambo yao ya kidini yanayo husisha masuala kadha wa kadha yenye mikanganyiko wanaficha vichwa ndani ya mashuka na kukaa kimya kama hawajui chochote kile ?

Kwani nini TEC isisajiliwe rasmi na kujulikana chama cha kisiasa official kuliko haya maigizo yanayo endelea ?
Soma Histotia ya Juan Peron,sijui hata kama unamjua
 
Kazi yao ni kujenga makanisa waumini wajihifadhi humo ndani wasipigwe na mvua wala jua sio kujenga hospital na shule hiyo sio kazi yao ni kazi ya serikali kwa 100%.
Kama serikali haijengi wawaache waumini wao wateseke bila hizo huduma muhimu na bora??
 
Mbona huulizi wanapojenga shule, hospitali, vyuo vyaufundi na vikuu, n.k. wananchi wanakosa huduma bora kulifanya kanisa lotumie rasilimali zake kutoa huduma hizo, sababu ni mfumo mbovu wa kisiasa. Hivyo wameamua na wao(ni sehemu ya raia) kutaka mambo yakae sawa ili kupunguza mzigo kwa kanisa.
naona hukuzungumzia ruzuku wanayopewa makanisa na serikali kila mwaka huwa inaenda wapi
 
Kanisa halimiliki wananchi. Hakuna wananchi wa kanisa fulani kanisa sio serikali.

Hii ni nchi ya kijamaa kama katiba ya mchonga meno inavyo sema. Hivyo jukumu la kutoa huduma zote za kijamii lipo chini ya mikono ya serikali na ni wajibu wao wa lazima. Wananchi kama hawadai kwa nguvu huo ni upumbavu wao
 
Nafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA".

Hivi hili baraza la maaskofu katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi ?

Kwa nini mijadala mingi na mambo mengi ya kisiasa wanakuwa nayo kimbelembele kuyazungumzia na kuyatolea matamko na waraka lakini mambo yao ya kidini yanayo husisha masuala kadha wa kadha yenye mikanganyiko wanaficha vichwa ndani ya mashuka na kukaa kimya kama hawajui chochote kile ?

Kwani nini TEC isisajiliwe rasmi na kujulikana chama cha kisiasa official kuliko haya maigizo yanayo endelea ?
Wahitimu wa madrassa utawajua tu kwa huja zao zisizo na mashiko
 
Nafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA".

Hivi hili baraza la maaskofu katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi ?

Kwa nini mijadala mingi na mambo mengi ya kisiasa wanakuwa nayo kimbelembele kuyazungumzia na kuyatolea matamko na waraka lakini mambo yao ya kidini yanayo husisha masuala kadha wa kadha yenye mikanganyiko wanaficha vichwa ndani ya mashuka na kukaa kimya kama hawajui chochote kile ?

Kwani nini TEC isisajiliwe rasmi na kujulikana chama cha kisiasa official kuliko haya maigizo yanayo endelea ?
TEC ni Watanzania!
 
Huelewi wabarikiwa wanavyokuwa kimbelembele kila sehemu?

Kitu cha kwanza ambacho wabarikiwa wanaondolewa ni haya, hawana haya hao wala hawajuwi vibaya.
Hakuna haya ambayo inazidi ile ya kuwaua au kujilipua kwenye makundi ya watu, kwa jina la Allah. Hiyo ni kufuru kubwa mbele za Mungu wa amani.
 
Mbona huulizi wanapojenga shule, hospitali, vyuo vyaufundi na vikuu, n.k. wananchi wanakosa huduma bora kulifanya kanisa lotumie rasilimali zake kutoa huduma hizo, sababu ni mfumo mbovu wa kisiasa. Hivyo wameamua na wao(ni sehemu ya raia) kutaka mambo yakae sawa ili kupunguza mzigo kwa kanisa.

Ndugu yetu huyu tumpuuze maana inaonekana ana uelewa finyu au tusema hana uelewa kabisa. Haelewi maana ya siasa, haelewi maana ya dini wala hajui chochote kuhusiana na katiba yetu. Huyu ni alimradi kumekucha.
 
Mwongo wewe

Kanisa la Roma ndio vinara wa kuchochea mauaji.
Research mauaji ya Kimbari Rwanda ambako mafuvu ya vichwa vya watu yalikutwa makanisani.
Na mapadri wa kanisa lenu la Roma walihusika mpk kushtakiwa
Kwani wewe ni Faisa.

Anyways uongo uko wapi.
Kama watu walikimbilia kanisani na wauwaji wakaenda kuwaulia huko uliyaka mafuvu yakutwe ikulu?

Lakini pia umesahau Rwanda walikua watutsi vs wahutu. Nenda kaangalie Hotel Rwanda utapata majibu ya kilichotokea na unapoonekana upo against Hutu/Tuts power
naona hukuzungumzia ruzuku wanayopewa makanisa na serikali kila mwaka huwa inaenda wapi
Kwani huwa inaenda wapi?
 
Wajibu wa viongozi wa Dini ni pamoja na kukemea mambo ya ovyo bila kujali anayekemewa ni nani. Lakini kuhusu TEC, usiwaguse kabisa. Wana akili, maarifa na uwezo hata mara 50 zaidi ya Serikali. Hapa Duniani ukiwa na akili, maarifa na uwezo wa kifedha ni lazima watu watakuogopa na kukuheshimu tu.
Ndivyo walivyo TEC, nani atawagusa?
 
So, TEC ni chama cha kisiasa kisicho rasmi au chombo cha kidini ?
 
Wewe mwenye akili kazi ya madhehebu ni kutangaza habari za kimungu au kujishughulisha na harakati za kisiasa ?
Linapokuja suala la maslahi ya mwanadamu lazima watumishi wa Mungu waingilie kati na kutolea ufafanuzi juu ya Jambo husika ikiwa Linahitaji msisitizo. Maana wanatimiza Ile kauli ya Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa, sasa wao lazima wao au wengine lazima waelimishe na kuwatoa Watu katika ujinga na upumbavu kama ulionao wewe ili Watu wasiangamie ...

Be a person of vertue not insane mkuu. Nimeandika Hivi baada ya kuona unashindwa ng'amua mambo in 4D Na ninaona unataka kupotea Kwa kukosa maarifa sasa sijui nikuute mjinga au mpumbavu.
 
Back
Top Bottom