Pre GE2025 TEC ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi mwenyewe najiulizaga kwann baadhi ya mashehe utakuta wamevalia sare za ccm na wako wanakula wali baada ya kumaliza vikao vya chama
 
Hakuna ulazima wa wao kufanya hivyo vitu hiyo sio kazi yao ni kazi ya serikali kwa 100%
 
 
Hakuna ulazima wa wao kufanya hivyo vitu hiyo sio kazi yao ni kazi ya serikali kwa 100%
Ingekuwa hivyo hata wewe lep hii usingeijua JF. Si ajabu hata wazazi wako wangekuwa wamekufa kwa kukosa huduma ya afya.

Hivi uliwahi kufikiria kama kusingekuwa na private school we ungekuwa wapi?

Uwekezaji wa shule, hospital n.k ni kwa sababu ha uzembee wa serikali sasa. Naamini unaelewa nini kingekuwa kimetokea kana kanisa halikuwekeza kwenye 1,689 hospital zaidi 500+ vyuo vua veta zaidi 230+ etc. Ficha upumbavu wako
 
Faiza. Kanisa lina uzoefu wa zaidi ya miaka 1000 pale wanapokaa kimya hali mbaya ikajitokeza. Vita ikijikeza watu hukimbilia kanisani tena kanisa katoliki. Hivyo wameamua kutosubiri kipokea wakimbizi bali kuzuia hali mbaya kwa gharama yeyote ile.
Mwongo wewe

Kanisa la Roma ndio vinara wa kuchochea mauaji.
Research mauaji ya Kimbari Rwanda ambako mafuvu ya vichwa vya watu yalikutwa makanisani.
Na mapadri wa kanisa lenu la Roma walihusika mpk kushtakiwa
 
Nasema hivi kazi ya kutoa huduma za kijamii ni kazi ya serikali kwa 100% tena katika nchi ya kikomunisti au kijamaa hilo ni jukumu la serikali lisilo na maswali yoyote wewe ndie mpumbavu usiejua wajibu wa serikali yako kwako na ndio maana maccm yanatawala muda mrefu hivi matahira kama haya yamejaa nchini unategemea nini sasa ? foolish
 
Mwongo wewe

Kanisa la Roma ndio vinara wa kuchochea mauaji.
Research mauaji ya Kimbari Rwanda ambako mafuvu ya vichwa vya watu yalikutwa makanisani.
Na mapadri wa kanisa lenu la Roma walihusika mpk kushtakiwa
Kwani wewe ni Faisa.

Anyways uongo uko wapi.
Kama watu walikimbilia kanisani na wauwaji wakaenda kuwaulia huko uliyaka mafuvu yakutwe ikulu?

Lakini pia umesahau Rwanda walikua watutsi vs wahutu. Nenda kaangalie Hotel Rwanda utapata majibu ya kilichotokea na unapoonekana upo against Hutu/Tutsi power
 
Uko sahihi. Tunakoelekea serikali iwemakini na hiki kikundi, isije ikawa mbeleni ni chama cha kisiasa. Ee Yesu tuepushee na hawa jaamaa
 
Kuwa viongozi wa dini haiwazuii kuikosoa serikali kwani na wao ni sehemu ya wananchi wakitanzania mbona hao viongozi wa dini wanaoleta uchawa kwakusifia tuu serikali mbona hua uulizi hili swali
 
Hao watu dawa Yao ni Moja tuu kuwabinya kama Wanasiasa wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…