Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Kazi yao ni kujenga makanisa waumini wajihifadhi humo ndani wasipigwe na mvua wala jua sio kujenga hospital na shule hiyo sio kazi yao ni kazi ya serikali kwa 100%.
Then you know nothing about kanisa.
Ita seems uko shallow sana kuhusu kanisa.
Kajifunze upya, kanisa linaenda deep sana si dini tu