Wewe ni Mkatoliki?Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama cha umoja wa Waislamu cha Africa Mashariki.
Kuendelea na mchakato wa kumfanya Mtakatifu kwa sababu ya mchango wake tu kwa kanisa Katoliki bila kujali haya madhila mengine itakuwa ni kutolitendea haki taifa, kuifanya Catholic chombo chenye double standards kisicho na moral authority ya kusimamia haki bila kujali upande, itakuwa pigo kubwa kwa harakati za haki na mabadiliko nchini.
Sahihi kabisa wasitishe mara moja na mchakato upelekwe kizmkazWengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama cha umoja wa Waislamu cha Africa Mashariki.
Kuendelea na mchakato wa kumfanya Mtakatifu kwa sababu ya mchango wake tu kwa kanisa Katoliki bila kujali haya madhila mengine itakuwa ni kutolitendea haki taifa, kuifanya Catholic chombo chenye double standards kisicho na moral authority ya kusimamia haki bila kujali upande, itakuwa pigo kubwa kwa harakati za haki na mabadiliko nchini.
Mkuu Kanisani sio kama tume ambayo inaweza kuelekezwa kuna misingi kanisa hutafuta unayoyajua na usioyajua inaweza chukua hata miaka 30 kabla ya hilo kufanyikaWengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama cha umoja wa Waislamu cha Africa Mashariki.
Kuendelea na mchakato wa kumfanya Mtakatifu kwa sababu ya mchango wake tu kwa kanisa Katoliki bila kujali haya madhila mengine itakuwa ni kutolitendea haki taifa, kuifanya Catholic chombo chenye double standards kisicho na moral authority ya kusimamia haki bila kujali upande, itakuwa pigo kubwa kwa harakati za haki na mabadiliko nchini.
Utuombee mbamizwa katumeni a.k.a BICHWA KOMWEBasi na BICHWA KOMWE atangazwe kuwa mtakatifu.
Kwanza BICHWA amefanya kazi kubwa sana ya kitume ya kutangaza injili na kuchapa kazi. Vichogo wote wanamjua.
Unaacha mtu makini kama BICHWA unaenda kuhangaika na madikteta katili, that's so unfair.
Tutakata rufaa. Haiwezekani tuchezewe na kina kitima kiasi hiki. Naagiza Kitima akamatwe mara moja!
Nonsense indeed.
Mtakatifu BICHWA KOMWE, utuombee.
Cc: Tlaatlaah secretarybird Monetary doctor Lamomy Mbaga Jr Kalpana Harmful
Naomba ile ya i have got you babe
Kwani Bakwata mkimcanonize Samia Kuna ubaya?Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama cha umoja wa Waislamu cha Africa Mashariki.
Kuendelea na mchakato wa kumfanya Mtakatifu kwa sababu ya mchango wake tu kwa kanisa Katoliki bila kujali haya madhila mengine itakuwa ni kutolitendea haki taifa, kuifanya Catholic chombo chenye double standards kisicho na moral authority ya kusimamia haki bila kujali upande, itakuwa pigo kubwa kwa harakati za haki na mabadiliko nchini.
Kati ya Mtume Paul aka Saul na Bwana Julius Nyerere nani alifanya unyama na ukatili zaidi kwa binadamu wenzake?Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama cha umoja wa Waislamu cha Africa Mashariki.
Kuendelea na mchakato wa kumfanya Mtakatifu kwa sababu ya mchango wake tu kwa kanisa Katoliki bila kujali haya madhila mengine itakuwa ni kutolitendea haki taifa, kuifanya Catholic chombo chenye double standards kisicho na moral authority ya kusimamia haki bila kujali upande, itakuwa pigo kubwa kwa harakati za haki na mabadiliko nchini.
Hata Samia Suluhu Hassan akitubu na kuiamini Injili kuna uwezekano wa kuwa Mtakatifu, hili kanisa halina ubaguzi.naunga mkono hoja,haina tija yoyote kwa taifa.
Katibu wa mfumo Kristu!Basi TEC waache kumuandama