TEC sitisheni mara moja mpango wa kumfanya Nyerere Mtakatifu, ni jambo la hasara zaidi kuliko faida.

Mzee wa matambiko Mfuasi wa Mzee Tambaza kwenye kuruka mashimo ili asipatwe na mikosi na kushiriki ibada za kumwaga damu leo anakuwa mtukufu.

Mtukufu Nchimbi na mikono yake muda wote kama anashukuru vile naye apate Mgao wake.

Arye ryerye iyooooo.
 
Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama cha umoja wa Waislamu cha Africa Mashariki.

Kuendelea na mchakato wa kumfanya Mtakatifu kwa sababu ya mchango wake tu kwa kanisa Katoliki bila kujali haya madhila mengine itakuwa ni kutolitendea haki taifa, kuifanya Catholic chombo chenye double standards kisicho na moral authority ya kusimamia haki bila kujali upande, itakuwa pigo kubwa kwa harakati za haki na mabadiliko nchini.
Wanataka kumfanya mtakatifu maana alitawala kipindi watu wamelala, na maovu yake yalikuwa hayatangazwi. Labda wamfanye mtakatifu wa hilo kabisa lao, lakini sio mtakatifu kwa jinsi alivyooendesha nchi.
 
Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama cha umoja wa Waislamu cha Africa Mashariki.

Kuendelea na mchakato wa kumfanya Mtakatifu kwa sababu ya mchango wake tu kwa kanisa Katoliki bila kujali haya madhila mengine itakuwa ni kutolitendea haki taifa, kuifanya Catholic chombo chenye double standards kisicho na moral authority ya kusimamia haki bila kujali upande, itakuwa pigo kubwa kwa harakati za haki na mabadiliko nchini.
Kumtambua Nyerere kama kiongozi mzuri au mwenye mchango mkubwa kwa Taifa si sawa na kumtangaza kuwa Mtakatifu. Hayo ni mambo mawili tofauti.

Kama Kanisa Katoliki litaamua kumtangaza Nyerere kuwa Mtakatifu, lazima apitie mchakato rasmi wa Kanisa wa kutathmini maisha yake, imani yake, utakatifu wa maisha yake na ushahidi unaohusiana na madai ya miujiza. Kwa utaratibu wa Kanisa, kwa mtu ambaye si shahidi (martyr), muujiza unaohusishwa na maombezi yake ni sehemu muhimu ya mchakato wa kutangazwa mtakatifu. Vatican yenyewe inaeleza kwamba miujiza huchunguzwa kwa umakini mkubwa, ikiwemo tathmini ya kitabibu na kiteolojia.

Kwa mfano, Mtakatifu Padre Pio alihusishwa na miujiza ya uponyaji baada ya kifo chake. Kabla ya kutangazwa kuwa Mtakatifu, Kanisa lilichunguza uponyaji wa watu waliodai kuponywa kwa maombezi yake, na uchunguzi ulihusisha madaktari, wanatheolojia na mamlaka za Kanisa. Vatican inaeleza mchakato wa uchunguzi wa muujiza uliotumika katika hatua yake ya kutangazwa mwenye heri.
Na mchakato upo hivyo kwa watakatifu wote.

Nyerere hawezi kutangazwa Mtakatifu kwa sababu tu alikuwa mwanasiasa mzuri au alikuwa na mchango mkubwa katika historia ya Tanzania. Lazima mchakato wa canonization uthibitishe vigezo vinavyotakiwa na Kanisa, na kwa canonization ya kawaida kuwe na muujiza uliotambuliwa rasmi.

Mpaka sasa sijasikia kama kuna miujiza yoyote imetokea kupitia maombezi yake kwa hiyo haitowezekana kuwamtakatifu
labda huko mbele hatujui

Kwa kifupi: Si mwanadamu anayemfanya mtu awe Mtakatifu; Mungu ndiye anayemchagua na kuthibitisha utakatifu wake kupitia miujiza, huku Kanisa likichunguza na kuthibitisha miujiza hiyo kabla ya kumtangaza rasmi kuwa Mtakatifu.
 
Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama cha umoja wa Waislamu cha Africa Mashariki.

Kuendelea na mchakato wa kumfanya Mtakatifu kwa sababu ya mchango wake tu kwa kanisa Katoliki bila kujali haya madhila mengine itakuwa ni kutolitendea haki taifa, kuifanya Catholic chombo chenye double standards kisicho na moral authority ya kusimamia haki bila kujali upande, itakuwa pigo kubwa kwa harakati za haki na mabadiliko nchini.
Pita mbali kama shoga. Haya hayakuhusu waachie Wakatoliki wenyewe. Isitoshe ni mchakato unaofanyiwa utafiti na wala siyo TEC inayomtangaza. Pili ni level ya Mwenyeheri wala siyo ya utakatifu
 
Wewe ni kilaza?.

Unavyosema taifa litakuwa halijatendewa haki unamaana gani, kwani wanamtafuta mtakatifu wa Taifa?.
 
Julius Nyerere, rais wa kwanza wa Tanzania, anajulikana sana kwa harakati zake za kupigania uhuru na sera zake za Ujamaa, lakini kuna mambo makubwa aliyoyafanya ambayo hayajulikani sana na watu wa kawaida. Hapa kuna baadhi ya mambo hayo:

1. Kuimarisha Elimu kwa Kuweka Msingi wa Elimu ya Bure:
Wakati sera yake ya elimu inajulikana, watu wengi hawajui kuwa Nyerere alijenga mfumo wa elimu kwa msisitizo wa kuwaelimisha wananchi wote, bila kujali hali yao ya kifedha. Alitumia rasilimali ndogo za taifa jipya kuanzisha programu za kujua kusoma na kuandika. Hili liliwezesha Tanzania kuwa na kiwango kikubwa cha watu walioweza kusoma kwa muda mfupi.

2. Sera ya Kujitegemea na Kilimo cha Kujikimu:
Kupitia Azimio la Arusha, Nyerere alisisitiza kujitegemea kiuchumi kwa njia ya kilimo. Alianzisha programu za vijiji vya Ujamaa ambapo watu walihamasishwa kufanya kazi pamoja ili kuongeza uzalishaji wa kilimo. Ingawa utekelezaji wake ulikumbana na changamoto, nia ya kujenga uchumi wa kujitegemea bado ilikuwa ni wazo kubwa lisilojulikana vizuri na watu wengi.

3. Msukumo wake katika Siasa za Afrika na Ukombozi:
Nyerere alifanya kazi kimya kimya katika kusaidia nchi nyingine za Afrika kupata uhuru. Alitoa msaada mkubwa kwa harakati za ukombozi katika nchi kama Msumbiji, Zimbabwe, na Afrika Kusini, bila kutafuta sifa binafsi. Tanzania ilitumia rasilimali zake kusaidia makundi ya wapigania uhuru kama FRELIMO na ANC, hata wakati nchi ilikuwa na changamoto zake kiuchumi.

4. Kujenga Umoja wa Kitaifa:
Nyerere alifanya kazi kubwa kuhakikisha kuwa Tanzania inabaki kuwa na amani na mshikamano licha ya kuwa na makabila zaidi ya 120. Alifanya juhudi za makusudi kuhakikisha kuwa taifa halikujigawa kwa misingi ya kikabila, kidini, au kijiografia. Lugha ya Kiswahili ilitumika kama chombo cha kuimarisha umoja huo.

5. Kusaidia kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki:
Wakati mwingi mchango wa Nyerere katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) haupewi uzito unaostahili. Nyerere alikuwa mmoja wa waanzilishi wa Jumuiya hii, akiamini katika nguvu ya umoja wa kikanda kwa maendeleo ya kisiasa na kiuchumi. Hata baada ya kuvunjika kwa Jumuiya hiyo mwaka 1977, alibaki kuwa mtetezi mkubwa wa umoja wa Afrika Mashariki.

6. Nafasi yake kama Mwanafalsafa:
Watu wachache wanajua kuwa Nyerere alikuwa pia mwanafalsafa wa kisiasa. Mbali na kuwa kiongozi wa kisiasa, Nyerere aliandika na kufundisha falsafa ya Ujamaa wa Kiafrika. Alijaribu kuunganisha mawazo ya kijamaa na tamaduni za Kiafrika ili kujenga jamii yenye usawa.

7. Kuongoza kwa Maadili na Kujinyima:
Katika dunia ya siasa iliyojaa rushwa na ubinafsi, Nyerere alisimama kama mfano wa kujinyima binafsi. Aliishi maisha ya kawaida hata akiwa rais, na hakuacha mali nyingi baada ya kung'atuka madarakani. Hii haijulikani sana kwa wengi, lakini ilitoa mfano mzuri wa uongozi wa maadili.

Mchango wa Nyerere unakwenda mbali zaidi ya yale yanayojulikana kwa juu juu, na alijitahidi kujenga misingi imara kwa taifa jipya na kwa bara la Afrika
 
Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama cha umoja wa Waislamu cha Africa Mashariki.

Kuendelea na mchakato wa kumfanya Mtakatifu kwa sababu ya mchango wake tu kwa kanisa Katoliki bila kujali haya madhila mengine itakuwa ni kutolitendea haki taifa, kuifanya Catholic chombo chenye double standards kisicho na moral authority ya kusimamia haki bila kujali upande, itakuwa pigo kubwa kwa harakati za haki na mabadiliko nchini.
Kwani watakatifu unaowajua wewe wamenyooka kama rula?
Kwa Dunia hii hakuna mtu aliye perfect %100 na kama yupo hawezi kuishi kwenye Dunia hii iliyooza.
 
Huenda kuna mkatoliki alikupiga miti akakuacha.
Unatuandama sana
We kikojozi achana na sisi.
Kila mada unayoanzishwa you speak negatively about catholicism.
Nothing special kuhusu kanisa takatifu katoliki la mitume.

Nyerere alikuwa mwendawazimu wa madaraka.
 
Pita mbali kama shoga. Haya hayakuhusu waachie Wakatoliki wenyewe. Isitoshe ni mchakato unaofanyiwa utafiti na wala siyo TEC inayomtangaza. Pili ni level ya Mwenyeheri wala siyo ya utakatifu
Dunia nzima unajiona Mkatoliki ni wewe peke yako chawa wa kizimkazi ?
 
Ila wanafeli sana Architect wa mfumo huu mbovu, kiongozi aliyekosa kuwa na maono ya mbali na kututungia katiba mbovu na muungano wa hovyo eti awe mtakatifu? Kweli hao wamekosa Kazi ya kufanya
 
Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama cha umoja wa Waislamu cha Africa Mashariki.

Kuendelea na mchakato wa kumfanya Mtakatifu kwa sababu ya mchango wake tu kwa kanisa Katoliki bila kujali haya madhila mengine itakuwa ni kutolitendea haki taifa, kuifanya Catholic chombo chenye double standards kisicho na moral authority ya kusimamia haki bila kujali upande, itakuwa pigo kubwa kwa harakati za haki na mabadiliko nchini.
Bila Nyerere wangekua hapo?.. Nyerere kasaidia ukristo kuenea tz na katoliki kujiona Wana nguvu nchini, unadhani hawajui kwa nini wanampa utakatifu!?
 
Back
Top Bottom