TEC sitisheni mara moja mpango wa kumfanya Nyerere Mtakatifu, ni jambo la hasara zaidi kuliko faida.

TEC sitisheni mara moja mpango wa kumfanya Nyerere Mtakatifu, ni jambo la hasara zaidi kuliko faida.

Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama cha umoja wa Waislamu cha Africa Mashariki.

Kuendelea na mchakato wa kumfanya Mtakatifu kwa sababu ya mchango wake tu kwa kanisa Katoliki bila kujali haya madhila mengine itakuwa ni kutolitendea haki taifa, kuifanya Catholic chombo chenye double standards kisicho na moral authority ya kusimamia haki bila kujali upande, itakuwa pigo kubwa kwa harakati za haki na mabadiliko nchini.
Wapo sawa, kila mtu aamini anachotaka, wengine wanaomba sanamu zinazungushwa jijini Dar kila siku, Wengine wanaomba waarabu na kuongea kiarabu na lafudhi ya kiarabu ndio mungu wao anaaskia.
Wengine mungu wao anaskiliza kirumi na wengine kingereza, kila mmoja aamini anachoaminii na kila mtu yupo Sahihi.
 
Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama cha umoja wa Waislamu cha Africa Mashariki.

Kuendelea na mchakato wa kumfanya Mtakatifu kwa sababu ya mchango wake tu kwa kanisa Katoliki bila kujali haya madhila mengine itakuwa ni kutolitendea haki taifa, kuifanya Catholic chombo chenye double standards kisicho na moral authority ya kusimamia haki bila kujali upande, itakuwa pigo kubwa kwa harakati za haki na mabadiliko nchini.
Hapa ndo tunakumbuka ubinadamu wa wanaoitwa watakatifu ambao hatukuwashuhudia sababu huyu tumemshuhudia. Imagine miaka 100 na kuendelea huko mbele wakiwa wanamsoma mtakatifu Nyerere picha watakayokuwa wanaijenga.
 
Huko Peponi naona kutakuwa ndiko jehenamu kwenyewe, kama mtu unakusudia kabisa kwa dhamira yako kuua waTanzania ili ubaki madarakani; halafu unageuka dakika ya mwisho na kusema hukunuia kuua hao watu ili mradi tu usalimishe roho yako?

Hapana. hiyo mbingu inayowapokea akina Samia haiwezi kuwepo.
Uzuri wa Mungu kwa wanaomuamini wanasema hawazi wala hatendi kwa namna yako ya kibinadamu. Ndio maana kuna watu wengi walioonekana wa hovyo machoni mwa wanadamu lakini Mungu aliwatumia kukamilisha kazi zake.
 
Hapa ndo tunakumbuka ubinadamu wa wanaoitwa watakatifu ambao hatukuwashuhudia sababu huyu tumemshuhudia. Imagine miaka 100 na kuendelea huko mbele wakiwa wanamsoma mtakatifu Nyerere picha watakayokuwa wanaijenga.
Exactly, hao waliotajwa kwenye biblia hata YESU aliishi kama nyerere watu wakamkataa, wakamtukana na kumuua .
TEC wameona mbali, walau tuwe na watakatifu waafrika, kwanini tuamini wazungu pekee ndio wanweza kuwa watakatifu?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hatuna michakato ya kuwafanya Watakatifu waja wa Allah
Sasa wewe inakuuma Nini sisi tukiwa na michakato ya kuwa fanya watakatifu waja wa BWANA MUNGU WA MAJESHI?
ikumbukwe sisi hatujaumbwa na Allah na Wala yeye si Mungu wetu!
 
Nawaza tu kwa sauti itakavyopokelewa.

suala la kumtaangaza kama mtakatifu litagonga vyombo vya habari na ku hit linaweza kupokelewa kama talk of the town kwa umaarufu aliokuwa nao ndani na nje ,na linaweza ku KIKIKI sana na kuzua mijadala ya hapa na pale kwenye jamii.
litafunika mada nyingine zinazoendelea kwa wakati huu
 
Tatizo wanajimwambafai nalo sana kana kwamba lina Positive Impact yeyote ya Ujumla kwa Taifa...Wakati ni mambo yao ya Ndani kwenye Ukatoliki wao..
Inaonekana kama unachanganyikiwa.

Yaani watu nambo yao binafsi wewe unasema wanajimbafai??

Kwenye nini?

Nimewahi kumusikia nyuma huko Mwenyekiti wa Kamati ya hilo tukio Askofu Msonga

Na aliwapora Mashule na Mavyuo akawaambia kazi yao ni kuchunga Kondoo wa Bwana tu..
Sasa kama aliwapora vyuo na wao hawaoni shida, wewe inakuhusu nini??
Mimi tokea Mwenyekiti wao wa huo Mchakato Askofu Msonganzila nimsikie akisisitiza michango ,kipindi fulani kwenye Misa kule Musoma,ili mchakato uende fasta Tanzania nayo ipate Mtakatifu.niliweka Zero na Hopeless...hawana hoja ya Kiimani ya Nyerere kutangazwa Mtakatifu.Ni fasheni..tu..
Any way hayatuhusu na hayana tija kwetu kama Taifa.
Utakatifu gani wakupatikana kwa kutumia pesa badala ya Matendo ya Mtu????
Masuala ya utakatifu wa Nyerere ni mambo binafsi ya kwake na Ukatoliki wake.

Siyo mabo ya kitaifa.

TZ haina dini wala haihusiki na imani binafsi ya kiongozi. Hayo ni mambo yao wenyewe.

Kwanza suala la utakatifu ni utaratibu tu wa kikatoliki, makanisa mengine hayana huo utaratibu

Mtu yoyote timamu hawezi kujiumiza akili, kuwapangia wakatoliki cha kufanya kwa utaratibu wa mambo yao binafsi, ambayo hayakuathiri wewe kwa chochote.
 
Tupe rekodi ya mauaji aliyofanya. Mamenu kakiri kuu magana atano na makumi moyo na inhane.
 
Nyerer
Nawaza tu kwa sauti itakavyopokelewa.

suala la kumtaangaza kama mtakatifu litagonga vyombo vya habari na ku hit linaweza kupokelewa kama talk of the town kwa umaarufu aliokuwa nao ndani na nje ,na linaweza ku KIKIKI sana na kuzua mijadala ya hapa na pale kwenye jamii.
litafunika mada nyingine zinazoendelea kwa wakati huu
e atuombee.
Inaonekana kama unachanganyikiwa.

Yaani watu nambo yao binafsi wewe unasema wanajimbafai??

Kwenye nini?


Sasa kama aliwapora vyuo na wao hawaoni shida, wewe inakuhusu nini??

Masuala ya utakatifu wa Nyerere ni mambo binafsi ya kwake na Ukatoliki wake.

Siyo mabo ya kitaifa.

TZ haina dini wala haihusiki na imani binafsi ya kiongozi. Hayo ni mambo yao wenyewe.

Kwanza suala la utakatifu ni utaratibu tu wa kikatoliki, makanisa mengine hayana huo utaratibu

Mtu yoyote timamu hawezi kujiumiza akili, kuwapangia wakatoliki cha kufanya kwa utaratibu wa mambo yao binafsi, ambayo hayakuathiri wewe kwa chochote.
Ni la kitaifa, nchi kuwa na mtakatifu ni jambom la kujivunia, watu watakuja kuhiji kwenye kaburi lake na tutakua utalii kama tu ambavyo kwa sasa mnavyokwenda Israel, Roma na Macca., walinza hivi hivi.
 
Wenye mamlaka ni Vatican., TEC wanakusanya taarifa za ushahidi tu. Kaa kwa kutulia, akitoka Baba wa Taifa unakuja mchakato wa Dkt John Pombe Joseph Magufuli.
 
kwa hiyo unaunga mkono hoja kwamba nyelele awe mtakatifu kwa kipi hasa alicho kifanya hasa mpaka aitwe mtakatifu
Mambo ya TEC halafu niyaingilie kwa misingi na minajili ipi sasa?Mwishowe utaniambia niwafokee wasifuge nguruwe.
 
Nyerer

e atuombee.

Ni la kitaifa, nchi kuwa na mtakatifu ni jambom la kujivunia, watu watakuja kuhiji kwenye kaburi lake na tutakua utalii kama tu ambavyo kwa sasa mnavyokwenda Israel, Roma na Macca., walinza hivi hivi.
hili ni jambo kubwa litazua mijadala mikubwa ndani na nje..na LITAZIMA MIJADALA YOTE INAYOENDELEA NDANI

na LITAISAFISHA TASWIRA YA NCHI NDANI NA NJE
 
Nyerer

e atuombee.

Ni la kitaifa, nchi kuwa na mtakatifu ni jambom la kujivunia, watu watakuja kuhiji kwenye kaburi lake na tutakua utalii kama tu ambavyo kwa sasa mnavyokwenda Israel, Roma na Macca., walinza hivi hivi.
Huo utalii utakuwa wa familia ya Nyerere siyo wa kitaifa.

Ukienda Uingereza, Watu wanaoenda kitalii kwenye UFALME wa Uingereza pesa zinazoingia ni za Familia ya kifalme, siyo za taifa.
 
Back
Top Bottom