TEC sitisheni mara moja mpango wa kumfanya Nyerere Mtakatifu, ni jambo la hasara zaidi kuliko faida.

TEC sitisheni mara moja mpango wa kumfanya Nyerere Mtakatifu, ni jambo la hasara zaidi kuliko faida.

Hilo la kumuweka padri kwenye mfumo wa elimu silijui, lakini huko kwenye Baraza la mawaziri si kulikuwepo na waisilamu, si wangemuhoji huyo padre huo mfumo anaotaka kuupandikiza?
Padre chiwanga alikua waziri wa elimu,hivi unajua hali ilivyokua serikalini 1970-1990s kwa waislam!?.. walikua mateka maofisini, wengine wakaficha majina yao ya kiarabu kama bwana Muhammad bob nyanga makani, Muhammad aliificha, waislam sana walikua madereva na matarishi
 
Mambo ya TEC halafu niyaingilie kwa misingi na minajili ipi sasa?Mwishowe utaniambia niwafokee wasifuge nguruwe.
hahahahaha kwa kweli kazi ipo kawa tatakatifu tunaowaombaga ndo maisha yao yalikuwa kama ya nyerere basi kuna haja ya kuchunguza

ety mtakatifu gabriel
Uombee'
 
Kama ni kweli basi jua taarifa zote unazozijua na usizozijua wanazo.
 
Back
Top Bottom