TEC sitisheni mara moja mpango wa kumfanya Nyerere Mtakatifu, ni jambo la hasara zaidi kuliko faida.

TEC sitisheni mara moja mpango wa kumfanya Nyerere Mtakatifu, ni jambo la hasara zaidi kuliko faida.

Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama cha umoja wa Waislamu cha Africa Mashariki.

Kuendelea na mchakato wa kumfanya Mtakatifu kwa sababu ya mchango wake tu kwa kanisa Katoliki bila kujali haya madhila mengine itakuwa ni kutolitendea haki taifa, kuifanya Catholic chombo chenye double standards kisicho na moral authority ya kusimamia haki bila kujali upande, itakuwa pigo kubwa kwa harakati za haki na mabadiliko nchini.
Tena ni hasara kubwa!
1. Muundo wa ccm aliharibu
2. Muungano wa kihuni
 
kwa namna moja litakuza na UTALII WA NCHI na UCHUMI WA NCHI.

watalii wakija watanunua/lipia huduma na bidhaa zetu na KUITANGAZA NCHI YETU KIMATAIFA
 
Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama cha umoja wa Waislamu cha Africa Mashariki.

Kuendelea na mchakato wa kumfanya Mtakatifu kwa sababu ya mchango wake tu kwa kanisa Katoliki bila kujali haya madhila mengine itakuwa ni kutolitendea haki taifa, kuifanya Catholic chombo chenye double standards kisicho na moral authority ya kusimamia haki bila kujali upande, itakuwa pigo kubwa kwa harakati za haki na mabadiliko nchini.
Acha upuuzi wakati mwingine
 
Inaonekana kama unachanganyikiwa.

Yaani watu nambo yao binafsi wewe unasema wanajimbafai??

Kwenye nini?


Sasa kama aliwapora vyuo na wao hawaoni shida, wewe inakuhusu nini??

Masuala ya utakatifu wa Nyerere ni mambo binafsi ya kwake na Ukatoliki wake.

Siyo mabo ya kitaifa.

TZ haina dini wala haihusiki na imani binafsi ya kiongozi. Hayo ni mambo yao wenyewe.

Kwanza suala la utakatifu ni utaratibu tu wa kikatoliki, makanisa mengine hayana huo utaratibu

Mtu yoyote timamu hawezi kujiumiza akili, kuwapangia wakatoliki cha kufanya kwa utaratibu wa mambo yao binafsi, ambayo hayakuathiri wewe kwa chochote.
Umejuaje hayaniathiri wakati mchango walitangaza wote Tuwaunge Mkono na hawakuwa wazi kwa kusema - Ni kwa Wakatoliki tu- kama wanavyofa kwenye kukomunika wakati wa Misa!? Huo si ni uchoyo!? Michango tutor..kunywa Divai na Mkate mnatubagua?
 
nimeelewa from your point of view

Ni la kitaifa, nchi kuwa na mtakatifu ni jambom la kujivunia, watu watakuja kuhiji kwenye kaburi lake na tutakua utalii kama tu ambavyo kwa sasa mnavyokwenda Israel, Roma na Macca., walinza hivi hivi.
[/QUOTE]
 
Umejuaje hayaniathiri wakati mchango walitangaza wote Tuwaunge Mkono na hawakuwa wazi kwa kusema - Ni kwa Wakatoliki tu- kama wanavyofa kwenye kukomunika wakati wa Misa!? Huo si ni uchoyo!? Michango tutor..kunywa Divai na Mkate mnatubagua?
Sasa kama wewe ni Mkatoliki, huyo aliyekutangazia mwambie maoni yako.

Sisi humu siyo wote wakatoliki. Wala hatuamini binadamu watakatifu na hata hizo sala za kikatoliki za Mtakatifu hatufanyi.
 
Sasa kama wewe ni Mkatoliki, huyo aliyekutangazia mwambie maoni yako.

Sisi humu siyo wote wakatoliki. Wala hatuamini binadamu watakatifu na hata hizo sala za kikatoliki za Mtakatifu hatufanyi.
Kumbe hata hunielewi kama usivyoeleweka kwangu ..
Wasalimie huko uliko...
 
Exactly, hao waliotajwa kwenye biblia hata YESU aliishi kama nyerere watu wakamkataa, wakamtukana na kumuua .
TEC wameona mbali, walau tuwe na watakatifu waafrika, kwanini tuamini wazungu pekee ndio wanweza kuwa watakatifu?
Kuna ukweli kwenye hoja yako mkuu.
 
Sahihi kabisa wasitishe mara moja na mchakato upelekwe kizmkaz
Kwenye uislam hakuna upuuzi kama huo, nyerere ndiye aliyeiangamiza hii nchi hadi leo bado tunatawaliwa kama nyapala bado mnadiriki kumvika Joho la damu
 
Back
Top Bottom