TEC toeni tamko kukemea ubaguzi kwenye elimu

😄
 
Wewe ndo hujitambui kabisa? Nani alikuambia ili uishi na ufanikiwe lazima usome shule za taasisi za dini? Kila shule ujiwekea vigezo ambavyo mzazi au mwanafunzi lazima kukizi, ukishindwa kosa si la taasisi bali ni lako mwenyewe! Shule ziko nyingi za kusoma! Nenda shule za umma/serikali kwani umekatazwa? Bichwa limejaa makamasi halina akili alafu unang'ang'ana usome shule za washua? Hiyo shule ya babaako? Shwaini! Kalaghabao!
 
Mpeleke folodhani secondary.... Kwani sio shule?. Mara zote ni ngumu mtoto akawa huru kusoma kwenye mazingira yasiyo rafiki na dini yake. Shule za kidini Mara nyingi uhusisha dini zao hata kwenye Mambo mengine ya kishule, ni mzazi mpumbavu aliye mkristo au muislam anaweza mpeleka mwanae shule tofaut na dini yake.
 
Nilidhani una hoja... lakini kumbe unatetea kina Paulo Albert Bashite 😂😂😂
Kanisa linastahili kupongezwa kwa hatua yao muhimu inayokusaidia usiendelee kupoteza rasilimali muda na fedha.
Kama unaona kuna shule wanapitishwa ovyo bila mchujo basi chap kwa haraka mpeleke huko!
Ukiendelea kulalamika utafanya tuone kuwa mwanao yupo vizuri kuliko wewe!!😂😂
 
Tujenge zetu mkuu. Tuwaachie zao.
 
Aje yule fatha kitima
 
Endelea kukumbati ubaguzi ,hivi huoni aibu taasisi kama TEC kukumbatia ubaguzi?
 
Endeleea kushabikia ubaguzi iko siku utaelewa tu
 
Mwanao kama ni kilaza mpeleke shule za serikali au za BAKWATA, TEC wanautaratibu wao ndiyo maana na ada zao ni kubwa.
 
Mkuu shule za kata hujaziona? Huko hata kama hajui kusoma atamaliza tu shule hakuna maokoto.
 
Tunapenda sana shortcut bila kuweka juhudi. Mtoto anakaa kwenye TV Jumatatu mpaka Jumatatu, mzazi yuko busy na iPhone 15 then anataka TEC wamuingize tu kwenye shule zao bila kufaulu.
Ampeleke government hakuna hata ada ni free kule wanapokea hakuna shida
 
Nani kawakataza wao kuwa na akili?
Yaani wewe mleta uzi ni kenge kabisaa.
 
Acheni kutetea ujinga ,haiwezekani kila mwanafunzi awe na uwezo darasani unaofana
Hivi chuo kikuu cha DSm hakina vigezo vya kuingia hapo chuoni, je kwenye kupata ajira serikalini hakuna vigezo , hivi Oxford University haeana ubaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…