Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Ukifeli umebaguliwa au umejibagua?Hii si ni taasisi ya dini ?taasisi ya dini inaruhusiwa kuchochea ubaguzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukifeli umebaguliwa au umejibagua?Hii si ni taasisi ya dini ?taasisi ya dini inaruhusiwa kuchochea ubaguzi?
Waanze na vyuo vikuuIssue sio TEC watoe tamko bali Wizara ya Elimu kama mtoto ulimchukua form one au darasa la kwanza kwamba ana uwezo kama akipwaya basi ameharibika mikononi mwako haya mambo ya kumfukuza ili wote wapate one hence kuongeza soko ni Upuuzi unaofanywa na shule nyingi sio Katoliki tu....
Elimu ni kumtoa mtu hatua moja mpaka nyingine sio kiwanda cha kuzalisha Division one...
Ungeanza na serikali maana inabagua wanafunzi waliopata division zero form four kwenda form five.Kumwondoa mwanafunzi anaesoma pale Tagaste kisha hajifukisha wastani wa A ni ubaguzi uliopitiliza
Kwanza unajua kuwa wew ni mvaa kobazi kwanini umpleleke mtot wako kwa wavaa rozali si ungempeleka kwa wavaa kobazi wenzio
Tunaomba baraza katoliki la maaskofu (TEC) kukemea kwa sauti moja ubaguzi unaofanyika chini ya shule ambazo zinaendeshwa na kanisa katoliki hapa nchini.
Ni muda sasa shule husika kuchagua wanafunzi kwa misingi ya kuhakikisha ya kwamba mwanafunzi yoyote yule ambae anaonekana kutokuwa na uwezo wa kimasomo anatengwa ama kwa kuhamishwa shule au kurejeshwa nyumbani.
Shule ambazo zimekuwa sugu kwa kutoa elimu kwa ubaguzi ni pamaja na Santa Augustine (Tagaste),St joseph na nyinginezo nyingi tu.
TEC ni taasisi kubwa hivyo tunawaombeni mtoe kauli moja kuhusu utoaji wa Elimu kwa misingi ya ubaguzi ambao umeota mizizi kwenye shule zinazomilikiwa na TEC na hata zile ambazo zimeamua kwa makusudi kabisa kuiga huu unyama kwenye utoaji elimu hapa nchini.
Tanzani yetu ni moja.
Wagalatia mnauchukia uislam kkkeng nyiePeleka mwanao Madrasa
RubbishWewe ndo hujitambui kabisa? Nani alikuambia ili uishi na ufanikiwe lazima usome shule za taasisi za dini? Kila shule ujiwekea vigezo ambavyo mzazi au mwanafunzi lazima kukizi, ukishindwa kosa si la taasisi bali ni lako mwenyewe! Shule ziko nyingi za kusoma! Nenda shule za umma/serikali kwani umekatazwa? Bichwa limejaa makamasi halina akili alafu unang'ang'ana usome shule za washua? Hiyo shule ya babaako? Shwaini! Kalaghabao!
Mnafanya Waislamu waonekane wapuuzi kumbe kuna Waislamu Wana akili na busara kubwa. Shule imeset standards zake mwanafunzi asipofikia haruhusiwi kuendelea. Hapo kuna ubaguzi gani wewe kibaraka?Tunaomba baraza katoliki la maaskofu (TEC) kukemea kwa sauti moja ubaguzi unaofanyika chini ya shule ambazo zinaendeshwa na kanisa katoliki hapa nchini.
Ni muda sasa shule husika kuchagua wanafunzi kwa misingi ya kuhakikisha ya kwamba mwanafunzi yoyote yule ambae anaonekana kutokuwa na uwezo wa kimasomo anatengwa ama kwa kuhamishwa shule au kurejeshwa nyumbani.
Shule ambazo zimekuwa sugu kwa kutoa elimu kwa ubaguzi ni pamaja na Santa Augustine (Tagaste),St joseph na nyinginezo nyingi tu.
TEC ni taasisi kubwa hivyo tunawaombeni mtoe kauli moja kuhusu utoaji wa Elimu kwa misingi ya ubaguzi ambao umeota mizizi kwenye shule zinazomilikiwa na TEC na hata zile ambazo zimeamua kwa makusudi kabisa kuiga huu unyama kwenye utoaji elimu hapa nchini.
Tanzani yetu ni moja.
Kwa hiyo aliefeli hastahili kuendelea na masomo)Ukifeli umebaguliwa au umejibagua?
Peleka Mtoto wako kwenye shule za Mazuzu wenzio ziko nyingi tu usitupigie kelele.Huwezi elewa maana wewe inawezekana ni mmoja wa wale wanaondekeza ubaguzi kwenye utoaji wa Elimu
Asante wabuguziPeleka Mtoto wako kwenye shule za Mazuzu wenzio ziko nyingi tu usitupigie kelele.
Hili jibu sahihi.Peleka mwanao Madrasa
Kuna shule za level zao, kila taasisi ina vigezo vyake. Au hilo no ajabu? Basi na shule za serikali zingekuwa zinachukua wanafunzi wote.Wamezoea kutumia Basha kupata nafasi, TEC hawana mchezo Kwa elimu.
Hapana Vyuo vikuu kuna standards sio lazima kila mtu aende kwenye fani fulani kama huko unapwaya unaweza kwenda VETA au sehemu tofauti..., huku chini ni msingi na moja kati ya kazi zao ni kuhakikisha mtu ana msingi mzuri na kumpatia training (after all kufeli ni zero) kwahio kama walimchukua mtoto baada ya la saba au vidudu wakiona kwamba yupo sawa kama akishuka kiwango basi ni wenyewe ndio wapo responsible na ushukaji kiwango chake kwahio waendelee nae....Waanze na vyuo vikuu
Na ndiyo maana huwa kuna hadi shule za wasichana tu au wavulana tu au wenye changamoto za viungo tu.Acheni kutetea ujinga ,haiwezekani kila mwanafunzi awe na uwezo darasani unaofana
Aliyekufa hufanywaje?Kwa hiyo aliefeli hastahili kuendelea na masomo)
Mkuu hata Yanga au Simba wanasajili wachezani wenye uwezo mkubwa na sio Kila mchezaji. Na hao wenye uwezo mkubwa huendelea kuchezea team hizo, na uwezo ukishuka wanapigwa chini. Serekali ndio Ina wajibu wa kuchukua mwanafunzi yoyote maana ni jukumu la serekali kutoa elimu kwa wanachi wake. Taasisi binafsi Zina vigezo vyake.hapa watakuja na mapovu tu ,usitegemee majibu ya kueleweka
Hizo shule hawakumbatii wingi, wanakumbatia ubora.Endelea kukumbati ubaguzi ,hivi huoni aibu taasisi kama TEC kukumbatia ubaguzi?