Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Msisitizie mwanao asome,na awe na nidhamu,ndio maana tunasisiza watoto wawekewe misingi imara tangu wakiwa wadogo Ili waweze kupambana Dunia ya ushindani,Moja ya hizo sifa nikutoa watoto wenye uelewa mkubwa,usikivu na nidhamu ya Hali ya juu...Sasa kulazimishwa watoto vivuruge nao wachukuliwe hapo ni kama unataka kumchanganya mafuta na maji....muulize FaizaFoxy bakwata Wana shule zao huko atafit