Hastahili kusoma kwenye shule yenye vigezo vya A. Kamtafutie yenye viwango vya chini.Kwa hiyo mnaamini kabisa kuwa wanafunzi wasipara daraja A hawastahili kusoma?
Si umpeleke mtoto wako St. Kayumba. Huko hata awe slow learner/kilaza kiasi gani! Atasoma tu kwa raha mustarehe.Tunaomba baraza katoliki la maaskofu (TEC) kukemea kwa sauti moja ubaguzi unaofanyika chini ya shule ambazo zinaendeshwa na kanisa katoliki hapa nchini.
Ni muda sasa shule husika kuchagua wanafunzi kwa misingi ya kuhakikisha ya kwamba mwanafunzi yoyote yule ambae anaonekana kutokuwa na uwezo wa kimasomo anatengwa ama kwa kuhamishwa shule au kurejeshwa nyumbani.
Shule ambazo zimekuwa sugu kwa kutoa elimu kwa ubaguzi ni pamaja na Santa Augustine (Tagaste),St joseph na nyinginezo nyingi tu.
TEC ni taasisi kubwa hivyo tunawaombeni mtoe kauli moja kuhusu utoaji wa Elimu kwa misingi ya ubaguzi ambao umeota mizizi kwenye shule zinazomilikiwa na TEC na hata zile ambazo zimeamua kwa makusudi kabisa kuiga huu unyama kwenye utoaji elimu hapa nchini.
Tanzani yetu ni moja.
Kama Hana uwezo, mpeleke kwenye shule zenu tia maji!?Acheni kutetea ujinga ,haiwezekani kila mwanafunzi awe na uwezo darasani unaofana
Hujalazimishwa kuufuata ubaguzi. Wapeleke wanao pasipo na ubaguzi... shule Tanzania na nje ya Tanzania ni nyingi mno!Tunaomba baraza katoliki la maaskofu (TEC) kukemea kwa sauti moja ubaguzi unaofanyika chini ya shule ambazo zinaendeshwa na kanisa katoliki hapa nchini.
Ni muda sasa shule husika kuchagua wanafunzi kwa misingi ya kuhakikisha ya kwamba mwanafunzi yoyote yule ambae anaonekana kutokuwa na uwezo wa kimasomo anatengwa ama kwa kuhamishwa shule au kurejeshwa nyumbani.
Shule ambazo zimekuwa sugu kwa kutoa elimu kwa ubaguzi ni pamaja na Santa Augustine (Tagaste),St joseph na nyinginezo nyingi tu.
TEC ni taasisi kubwa hivyo tunawaombeni mtoe kauli moja kuhusu utoaji wa Elimu kwa misingi ya ubaguzi ambao umeota mizizi kwenye shule zinazomilikiwa na TEC na hata zile ambazo zimeamua kwa makusudi kabisa kuiga huu unyama kwenye utoaji elimu hapa nchini.
Tanzani yetu ni moja.
Sasa hapo ubaguzi upo wap mkuu? Shule yoyote makini lazima ihakikishe inasajiri wanafunz wenye uwezo wa kimasomo ndio maana hata serikali (NECTA) inawapa wanafunzi mitihani ili kuwachuja kulingana na uwezo wao. Huu sio ubaguzi bali ni utaratibu wa kawaida kwenye elimu.Tunaomba baraza katoliki la maaskofu (TEC) kukemea kwa sauti moja ubaguzi unaofanyika chini ya shule ambazo zinaendeshwa na kanisa katoliki hapa nchini.
Ni muda sasa shule husika kuchagua wanafunzi kwa misingi ya kuhakikisha ya kwamba mwanafunzi yoyote yule ambae anaonekana kutokuwa na uwezo wa kimasomo anatengwa ama kwa kuhamishwa shule au kurejeshwa nyumbani.
Shule ambazo zimekuwa sugu kwa kutoa elimu kwa ubaguzi ni pamaja na Santa Augustine (Tagaste),St joseph na nyinginezo nyingi tu.
TEC ni taasisi kubwa hivyo tunawaombeni mtoe kauli moja kuhusu utoaji wa Elimu kwa misingi ya ubaguzi ambao umeota mizizi kwenye shule zinazomilikiwa na TEC na hata zile ambazo zimeamua kwa makusudi kabisa kuiga huu unyama kwenye utoaji elimu hapa nchini.
Tanzani yetu ni moja.
Ukiwa na shule utakusanya kila takataka ili usiwe mbaguzi?Tunaomba baraza katoliki la maaskofu (TEC) kukemea kwa sauti moja ubaguzi unaofanyika chini ya shule ambazo zinaendeshwa na kanisa katoliki hapa nchini.
Ni muda sasa shule husika kuchagua wanafunzi kwa misingi ya kuhakikisha ya kwamba mwanafunzi yoyote yule ambae anaonekana kutokuwa na uwezo wa kimasomo anatengwa ama kwa kuhamishwa shule au kurejeshwa nyumbani.
Shule ambazo zimekuwa sugu kwa kutoa elimu kwa ubaguzi ni pamaja na Santa Augustine (Tagaste),St joseph na nyinginezo nyingi tu.
TEC ni taasisi kubwa hivyo tunawaombeni mtoe kauli moja kuhusu utoaji wa Elimu kwa misingi ya ubaguzi ambao umeota mizizi kwenye shule zinazomilikiwa na TEC na hata zile ambazo zimeamua kwa makusudi kabisa kuiga huu unyama kwenye utoaji elimu hapa nchini.
Tanzani yetu ni moja.
Nachojua mimi wanakupa muda wa kuimprove, wanakitu kinaitwa nyota kwa shule ya Alfagems, akishindwa kutoka huko anaondolewa kwa sababu ya kutobadilika kwake. Pia watoto wetu wa sasa tumewalea kimayai mno wanatabia za ajabu sana unataka hata pale anapoonywa na kutobadilika aendelee kufugwa? Zipo shule nzuri tu ambazo si za Katoliki ukiona hizo wanazingua mpeleke hukoAcheni kutetea ujinga ,haiwezekani kila mwanafunzi awe na uwezo darasani unaofana
Kwani serikali inachokifanya nini. The same way. Wasingewafanyisha mitihan coz ni kuwabagua waliofeliTunaomba baraza katoliki la maaskofu (TEC) kukemea kwa sauti moja ubaguzi unaofanyika chini ya shule ambazo zinaendeshwa na kanisa katoliki hapa nchini.
Ni muda sasa shule husika kuchagua wanafunzi kwa misingi ya kuhakikisha ya kwamba mwanafunzi yoyote yule ambae anaonekana kutokuwa na uwezo wa kimasomo anatengwa ama kwa kuhamishwa shule au kurejeshwa nyumbani.
Shule ambazo zimekuwa sugu kwa kutoa elimu kwa ubaguzi ni pamaja na Santa Augustine (Tagaste),St joseph na nyinginezo nyingi tu.
TEC ni taasisi kubwa hivyo tunawaombeni mtoe kauli moja kuhusu utoaji wa Elimu kwa misingi ya ubaguzi ambao umeota mizizi kwenye shule zinazomilikiwa na TEC na hata zile ambazo zimeamua kwa makusudi kabisa kuiga huu unyama kwenye utoaji elimu hapa nchini.
Tanzani yetu ni moja.
anza na vyuo vya kiislam hlf uje kwa hivyo vyuo vya TEC tuone bora yupiTunaomba baraza katoliki la maaskofu (TEC) kukemea kwa sauti moja ubaguzi unaofanyika chini ya shule ambazo zinaendeshwa na kanisa katoliki hapa nchini.
Ni muda sasa shule husika kuchagua wanafunzi kwa misingi ya kuhakikisha ya kwamba mwanafunzi yoyote yule ambae anaonekana kutokuwa na uwezo wa kimasomo anatengwa ama kwa kuhamishwa shule au kurejeshwa nyumbani.
Shule ambazo zimekuwa sugu kwa kutoa elimu kwa ubaguzi ni pamaja na Santa Augustine (Tagaste),St joseph na nyinginezo nyingi tu.
TEC ni taasisi kubwa hivyo tunawaombeni mtoe kauli moja kuhusu utoaji wa Elimu kwa misingi ya ubaguzi ambao umeota mizizi kwenye shule zinazomilikiwa na TEC na hata zile ambazo zimeamua kwa makusudi kabisa kuiga huu unyama kwenye utoaji elimu hapa nchini.
Tanzani yetu ni moja.
kwamba anawalaumu TEC badala ya ccmu anaowapigia kura na hawamjengei shule , hv yupo timamu huyu? au aliwapigia kura TEC?Ngoja waje wakupe majibu yao ushibe.
[emoji124][emoji124][emoji124]
kwamba TEC ndo uliwapigia kura kukuletea shule ? bado huon upumbav wako ? angalia sehem sahihi ya kutupa lawama , shule za kiislam ndo ubaguz umekithiri , watoto zetu wanalazimishwa kuish kiislam wawapo kweny hizo shuleIts beyond your thinking capacity
💩Tunaomba baraza katoliki la maaskofu (TEC) kukemea kwa sauti moja ubaguzi unaofanyika chini ya shule ambazo zinaendeshwa na kanisa katoliki hapa nchini.
Ni muda sasa shule husika kuchagua wanafunzi kwa misingi ya kuhakikisha ya kwamba mwanafunzi yoyote yule ambae anaonekana kutokuwa na uwezo wa kimasomo anatengwa ama kwa kuhamishwa shule au kurejeshwa nyumbani.
Shule ambazo zimekuwa sugu kwa kutoa elimu kwa ubaguzi ni pamaja na Santa Augustine (Tagaste),St joseph na nyinginezo nyingi tu.
TEC ni taasisi kubwa hivyo tunawaombeni mtoe kauli moja kuhusu utoaji wa Elimu kwa misingi ya ubaguzi ambao umeota mizizi kwenye shule zinazomilikiwa na TEC na hata zile ambazo zimeamua kwa makusudi kabisa kuiga huu unyama kwenye utoaji elimu hapa nchini.
Tanzani yetu ni moja.
kwann usimpeleke kwenye shule za uliowapigia kura ? wao wanataka utaratibu wao wewe unataka utaratibu wako , hv hujion haupo timamu?Acheni kutetea ujinga ,haiwezekani kila mwanafunzi awe na uwezo darasani unaofana
mpeleke mwanao kwenye shule zinazosimamiwa na uliowapigia kura , mtoto wako mbulula na ww mzaz hujali kuhusu hilo na unataka aendelee wapumbaza wengineHuwezi elewa maana wewe inawezekana ni mmoja wa wale wanaondekeza ubaguzi kwenye utoaji wa Elimu