Technically what has the Isreal state achieve from the 15months war of Gaza war.

Si Kweli, Hotuba ya Blinken ambaye anaipenda Israel kuliko wewe ana Estimate Hamas sasa hivi ina nguvu kuliko Vita vilipoanza,

Hata ukiangalia sasa hivi Israel wana report vifo vingi karibuni kuliko mwanzo wa Vita.

The fact that Wamekaa na Mateka zaidi ya mwaka wamewalinda na yale mabomu yote na mpaka sasa wanawatumia kubadilishana mateka inaonesha mambo sio rahisi kama unavyoongea.
 
Mkuu i think those are your personal feelings not the real objectives of Israel, the conflict of israel en Palestine did not start on Octomber 2023
 
Kama ingekua Hamas wako defeated Israel angeshakomboa mateka na vita ingekua imeisha
 
What did hamas achieve on 7th October?
Lengo la Hamas ni kuteka wa Israel kubadilishana mateka na wafungwa wa kipalestina ambao wapo jela za Israel.

Israel ikakataa vita inaanza na Israel akasema kwa kutumia nguvu watawakomboa mateka.

Miezi 15 baadae hawajakomboa mateka na wamekubali matakwa ya Hamas wanabadilishana mateka sasa hivi, na sio tu mateka bali ni makamanda na wapiganaji wa Hamas, Fatah na wengineo.

In short Wa Israel hawataki ila hawana Jinsi sababu ni Trump ndio amewalazimisha, kikao kilichofanyika Qatar baina ya hizo Pande mbili.
 
You can't compare what you call awareness with all the losses in Gaza.

I wonder which world are you referring
Siwezi sema hamas wameshinda ila Haya ni maneno yako wewe ila malengo waliyaweka kuwa wanataka kukomboa mateka wote, kuondoa utawala wa hamas ghaza n. K.
 
Sio kwamba hawakutaka, but their exhausted with the war they need breathing space its not easy to fight with an ideology, had they knew that they would have exchanged prisoners long ago before going deep in the war.
 
Mkuu how can you compare the lives of hundreds of Innocent children that was lost and tonnes of bombs, money et.c?

The events of October 7th weren't worth it
 
Siwezi sema hamas wameshinda ila Haya ni maneno yako wewe ila malengo waliyaweka kuwa wanataka kukomboa mateka wote, kuondoa utawala wa hamas ghaza n. K.
Uko sahihi huenda malengo ya Israel hayakufikiwa lakini haiondoi ukweli kuwa Gaza imepoteza pakubwa.

Maamuzi ya Hamas ya Oktoba 7 hayakuwa sahihi.
 
Mkuu how can you compare the lives of hundreds of Innocent children that was lost and tonnes of bombs, money et.c?

The events of October 7th weren't worth it
Both side lost people in law a death of 1 person is equally the same with the death of 50 people.....so israel has not achieved any thing by killing thousands of civilian compared to hundred killed on his side.
 
Hao mateka wachache unaweza linganisha na hasara iliyopatikana hasa Gaza?

Hamas hawakufanya maamuzi sahihi mkuu.
 
Not at all,rather than disciplining the hooligans!
I see now You are short argument en probably offtopic, no hooligans in the war respect your enemy its the first rule in war otherwise he may harm you badly
 
I see now You are short argument en probably offtopic, no hooligans in the war respect your enemy its the first rule in war otherwise he may harm you badly
It's all my view.Its articulated as a war,now?Not a fight anymore?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…