Technically what has the Isreal state achieve from the 15months war of Gaza war.

Are tha Hamas 15 months ago the same as Hamas of today? For more than 6 months ago no rocket has been launched from Gaza! All top leaders of Hamas has been eliminated! Tannels, ammunition and terrorist logistics communication has been disabled! Ofcourse Israeli objectives have been achieved Covax
Si Kweli, Hotuba ya Blinken ambaye anaipenda Israel kuliko wewe ana Estimate Hamas sasa hivi ina nguvu kuliko Vita vilipoanza,

Hata ukiangalia sasa hivi Israel wana report vifo vingi karibuni kuliko mwanzo wa Vita.

The fact that Wamekaa na Mateka zaidi ya mwaka wamewalinda na yale mabomu yote na mpaka sasa wanawatumia kubadilishana mateka inaonesha mambo sio rahisi kama unavyoongea.
 
Hizo sababu ni sababu za KISIASA tu

Sababu kuu iliyofanya Netanyau kuishambulia GAZA ni KISASI kwasababu HAMAS waliishambulia kuua na kuteka watu ndani ya Israel

Hizo sababu za kukomboa mateka, kuimaliza Hamas na kuikalia GAZA ni mambo ambayo yalikua LAZIMA yazingatiwe unapokua unalipa KISASI
Na ndio maana
1, Zaidi ya Wapalestina 40k wameuwawa ikiwemo uongozi karibu wote wa juu walioratibu shambulio,
2, Wamejaribu na kukomboa mateka wachache
3, Na mpaka muda huu bado wameikalia GAZA

Sasa kama wewe utakua unaangali tu kwamba
1, Wameshindwa kuwaua Hamas wote
2, Wameshindwa kukomboa mateka wote
3, Netanyau anaugharimu pakubwa uchumi na uhai wa askari wake
Basi itakua sio mbaya UKIJIFARIJI kwamba HAMAS wameshinda VITA

BUT in reality wakaazi wote wa GAZA wakiwemo Hamas they’re living in HELL(KISASI kinalipwa kwa gharama)

Kikubwa unachotakiwa kujiuliza ni nini kitafuata GAZA baada ya?
Mkuu i think those are your personal feelings not the real objectives of Israel, the conflict of israel en Palestine did not start on Octomber 2023
 
Are tha Hamas 15 months ago the same as Hamas of today? For more than 6 months ago no rocket has been launched from Gaza! All top leaders of Hamas has been eliminated! Tannels, ammunition and terrorist logistics communication has been disabled! Ofcourse Israeli objectives have been achieved Covax
Kama ingekua Hamas wako defeated Israel angeshakomboa mateka na vita ingekua imeisha
 
What did hamas achieve on 7th October?
Lengo la Hamas ni kuteka wa Israel kubadilishana mateka na wafungwa wa kipalestina ambao wapo jela za Israel.

Israel ikakataa vita inaanza na Israel akasema kwa kutumia nguvu watawakomboa mateka.

Miezi 15 baadae hawajakomboa mateka na wamekubali matakwa ya Hamas wanabadilishana mateka sasa hivi, na sio tu mateka bali ni makamanda na wapiganaji wa Hamas, Fatah na wengineo.

In short Wa Israel hawataki ila hawana Jinsi sababu ni Trump ndio amewalazimisha, kikao kilichofanyika Qatar baina ya hizo Pande mbili.
 
You can't compare what you call awareness with all the losses in Gaza.

I wonder which world are you referring
Siwezi sema hamas wameshinda ila Haya ni maneno yako wewe ila malengo waliyaweka kuwa wanataka kukomboa mateka wote, kuondoa utawala wa hamas ghaza n. K.
 
Lengo la Hamas ni kuteka wa Israel kubadilishana mateka na wafungwa wa kipalestina ambao wapo jela za Israel.

Israel ikakataa vita inaanza na Israel akasema kwa kutumia nguvu watawakomboa mateka.

Miezi 15 baadae hawajakomboa mateka na wamekubali matakwa ya Hamas wanabadilishana mateka sasa hivi, na sio tu mateka bali ni makamanda na wapiganaji wa Hamas, Fatah na wengineo.

In short Wa Israel hawataki ila hawana Jinsi sababu ni Trump ndio amewalazimisha, kikao kilichofanyika Qatar baina ya hizo Pande mbili.
Sio kwamba hawakutaka, but their exhausted with the war they need breathing space its not easy to fight with an ideology, had they knew that they would have exchanged prisoners long ago before going deep in the war.
 
Did the losses occur only on one side, you think using 850k tones of bomb explosives is cheap? Israel lost active combants as well as Hamas lost her civilians including children en women, the budget of the war on the side of Israel is almost two time the annual budget of Tanzania, the war has cost him billions of dollors...........so losses is not any where an achievement boss.
Mkuu how can you compare the lives of hundreds of Innocent children that was lost and tonnes of bombs, money et.c?

The events of October 7th weren't worth it
 
Siwezi sema hamas wameshinda ila Haya ni maneno yako wewe ila malengo waliyaweka kuwa wanataka kukomboa mateka wote, kuondoa utawala wa hamas ghaza n. K.
Uko sahihi huenda malengo ya Israel hayakufikiwa lakini haiondoi ukweli kuwa Gaza imepoteza pakubwa.

Maamuzi ya Hamas ya Oktoba 7 hayakuwa sahihi.
 
Mkuu how can you compare the lives of hundreds of Innocent children that was lost and tonnes of bombs, money et.c?

The events of October 7th weren't worth it
Both side lost people in law a death of 1 person is equally the same with the death of 50 people.....so israel has not achieved any thing by killing thousands of civilian compared to hundred killed on his side.
 
Lengo la Hamas ni kuteka wa Israel kubadilishana mateka na wafungwa wa kipalestina ambao wapo jela za Israel.

Israel ikakataa vita inaanza na Israel akasema kwa kutumia nguvu watawakomboa mateka.

Miezi 15 baadae hawajakomboa mateka na wamekubali matakwa ya Hamas wanabadilishana mateka sasa hivi, na sio tu mateka bali ni makamanda na wapiganaji wa Hamas, Fatah na wengineo.

In short Wa Israel hawataki ila hawana Jinsi sababu ni Trump ndio amewalazimisha, kikao kilichofanyika Qatar baina ya hizo Pande mbili.
Hao mateka wachache unaweza linganisha na hasara iliyopatikana hasa Gaza?

Hamas hawakufanya maamuzi sahihi mkuu.
 
Not at all,rather than disciplining the hooligans!
I see now You are short argument en probably offtopic, no hooligans in the war respect your enemy its the first rule in war otherwise he may harm you badly
 
It's all my view.Its articulated as a war,now?Not a fight anymore?
 
Back
Top Bottom