Tecno wazindua Phantom V Flip 2 na Phantom V Fold 2 zikiwa na AI assistant!

Tecno wazindua Phantom V Flip 2 na Phantom V Fold 2 zikiwa na AI assistant!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Kampuni kutoka China Tecno, wanazidi kuwafurahisha na kuwashangaza Walimwengu kwa kuzindua generation ya pili ya foldable smartphones, kwa kuja na Flip na Fold, zote zikiwa na Ella AI ambayo iko powered na Google Gemini AI.

Flip 2 itaanza $700 na ni improvement kutoka Flip 1 ya mwaka jana.

gsmarena_001.jpg

gsmarena_002.jpg

Hii Fold 2 nayo muendelezo wa Fold 1 ya mwaka jana itakua $1,100 tu!
gsmarena_003.jpg
gsmarena_005.jpg

Tecno sio ya kinyonge.
 
Kwa wale wapenda status, Niseme tu, hizi simu za fold ambazo ni latest zina hadhi ya juu kuliko iPhone hata kwa bei.

Sizungumzii hizi Tecno, hata hii Tecno fold bei yake yenyewe si ya Tecno zilizo zoeleka na nafikiri ndio expensive kuliko Tecno zote.

Latest fold za samsung iphone haisogei kwa price.
 
Yeah mfano hii Fold 6 aisee balaa jingine.
 
Back
Top Bottom