Binafsi nilikuwa natumia Huawei then Sony halafu nikaanza na Cammon Series.
Nilianza 8, 9 ....... 16,17 na sasa Nina 18.
Nina principle yangu "Sometimes there is no problem of being common person"
Kazini Kuna watu wanauza simu Kali tu za brand nyengine ila THIS IS ENOUGH FOR ME.
Kuna mtu aliniletea Samsung imetoka nje (ana kaka ake anamtumiaga electronic devices auze).
Hiyo simu humu bongo inauzwa Mil 2.4 yeye alisema kwakuwa tupo ofisi moja nimpe Mil 1 tu Tena kwa instalment au kama hii sitaki ana iphone anauza laki 6.
Wiki hiyohiyo nikanunua hii Techno kwa 760k.
Then nilikuwa nauwezo wa kuongeza 240k nikachukua ile Samsung.
Hilo limeenda mpaka kwenye PC, mi ni HP tuuu.
Hata itoke brand gani ya kuwa na uwezo mkubwaaa ila kama sio HP then ni HAPANA KWA KWELI.
Nililetewa DELL nzuri ya Core i 7 then yangu ni HP ya Core i 5 ila kwakuwa sio HP then ni hapana kwa kweli..!!
Ila tunarudi palepale "in life there is no problem of being common person"
Nitatumia Techno Cammon Series mpaka mwisho wake.
Nitatumia HP mpaka mwisho mwake.
Na hili linaenda mpaka kwenye mavazi, vinywaji vya bar na sekta nyengine za maisha.
HAVE YOUR PRINCIPLE AND STICK TO THEM.
Dunia isikuendeshe kisa WAO WANASEMA.
#YNWA