TECNO yatangaza teknolojia mpya ya RGBW camera sensor + glass ambayo imetengenezwa kwa ushirikiano na Samsung kwenye mfululizo wake wa CAMON 19

haupo sawa kiakil na kimwil huwez kumdharau mt kwa kutumia ki2 akipendacho,samsung ni brand kubwa hatukatai ila ukija kwa sm moja moja kna tecno kal sana ukilinganisha na uchaf mwingne wa samsung,sk nyingne ukipost ustumie ubongo wa nyuma
 
Mimi hata uniroge situmii simu ya Techno. Hata unipe na pesa, kifupi sijawahi ielewa hiyo simu na watumiaji wake wote huwa nawadharau
haupo sawa kiakil na kimwil huwez kumdharau mt kwa kutumia ki2 akipendacho,samsung ni brand kubwa hatukatai ila ukija kwa sm moja moja kna tecno kal sana ukilinganisha na uchaf mwingne wa samsung,sk nyingne ukipost ustumie ubongo wa nyuma
 
Tatizo ni TECNO tu, yaan simu ikiitwa TECNO tu bas ishazingua 😂😂😂
 
haupo sawa kiakil na kimwil huwez kumdharau mt kwa kutumia ki2 akipendacho,samsung ni brand kubwa hatukatai ila ukija kwa sm moja moja kna tecno kal sana ukilinganisha na uchaf mwingne wa samsung,sk nyingne ukipost ustumie ubongo wa nyuma
Hahahahaha mkuu na wewe utakuwa unatumia tecno kali. 😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom