The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
naomba maelezo kidogo hapo kwenye reno 6 5g,nipo mbioni kuchukua,n simu nzuri?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hadi Sasa sijajutia maamuzi ya kuinunua hii simu. Nna warranty ya mwaka. Hakikisha tu unanunua mpya Kwa wakala wanaoeleweka.