TECNO yatangaza teknolojia mpya ya RGBW camera sensor + glass ambayo imetengenezwa kwa ushirikiano na Samsung kwenye mfululizo wake wa CAMON 19

Kila mtu hutumia kile apendacho PUNGUZA MAJIGAMBO.

Una wadharau ili iweje sasa.

Kuna vingii unatumia wenzako hawavitaki, na wao WAKUDHARAU?

#YNWA
Of course, hata mimi kama natumia kitu cha kijinga mtu akinidharau mi sawa tu. Ila ukweli utabaki kuwa ukweli tu. Tecno itabaki kuwa techno tu na ina watu wake
 
Mie dharau sipendi, ila [emoji28][emoji28] kwamba mtu anatumia tecno kwa kuipenda??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti mtu anasema wazi kuwa anapenda tecno
 
Binafsi nilikuwa natumia Huawei then Sony halafu nikaanza na Cammon Series.
Nilianza 8, 9 ....... 16,17 na sasa Nina 18.

Nina principle yangu "Sometimes there is no problem of being common person"

Kazini Kuna watu wanauza simu Kali tu za brand nyengine ila THIS IS ENOUGH FOR ME.

Kuna mtu aliniletea Samsung imetoka nje (ana kaka ake anamtumiaga electronic devices auze).
Hiyo simu humu bongo inauzwa Mil 2.4 yeye alisema kwakuwa tupo ofisi moja nimpe Mil 1 tu Tena kwa instalment au kama hii sitaki ana iphone anauza laki 6.

Wiki hiyohiyo nikanunua hii Techno kwa 760k.
Then nilikuwa nauwezo wa kuongeza 240k nikachukua ile Samsung.

Hilo limeenda mpaka kwenye PC, mi ni HP tuuu.
Hata itoke brand gani ya kuwa na uwezo mkubwaaa ila kama sio HP then ni HAPANA KWA KWELI.

Nililetewa DELL nzuri ya Core i 7 then yangu ni HP ya Core i 5 ila kwakuwa sio HP then ni hapana kwa kweli..!!

Ila tunarudi palepale "in life there is no problem of being common person"

Nitatumia Techno Cammon Series mpaka mwisho wake.
Nitatumia HP mpaka mwisho mwake.

Na hili linaenda mpaka kwenye mavazi, vinywaji vya bar na sekta nyengine za maisha.

HAVE YOUR PRINCIPLE AND STICK TO THEM.

Dunia isikuendeshe kisa WAO WANASEMA.

#YNWA

Jichunguze mkuu, kuna sehemu una tatizo ila wewe hujui. Yaani uache Samsung akachuke tekno? Au wew ni msukuma?
 
Amen.
Au unataka dunia nzima iamini kwenye Imani yako?
Lako likiwa sahihi unataka Liwe sahihi kwa wote?

Sijaona shida yoyote.

Huoni wewe ndio una tatizo la dharau na kuji "mwambafai"??

#YNWA
Mkuu mimi siyo mtu wa kijitweza, labda kama huniui
 
Binafsi nilikuwa natumia Huawei then Sony halafu nikaanza na Cammon Series.
Nilianza 8, 9 ....... 16,17 na sasa Nina 18.

Nina principle yangu "Sometimes there is no problem of being common person"

Kazini Kuna watu wanauza simu Kali tu za brand nyengine ila THIS IS ENOUGH FOR ME.

Kuna mtu aliniletea Samsung imetoka nje (ana kaka ake anamtumiaga electronic devices auze).
Hiyo simu humu bongo inauzwa Mil 2.4 yeye alisema kwakuwa tupo ofisi moja nimpe Mil 1 tu Tena kwa instalment au kama hii sitaki ana iphone anauza laki 6.

Wiki hiyohiyo nikanunua hii Techno kwa 760k.
Then nilikuwa nauwezo wa kuongeza 240k nikachukua ile Samsung.

Hilo limeenda mpaka kwenye PC, mi ni HP tuuu.
Hata itoke brand gani ya kuwa na uwezo mkubwaaa ila kama sio HP then ni HAPANA KWA KWELI.

Nililetewa DELL nzuri ya Core i 7 then yangu ni HP ya Core i 5 ila kwakuwa sio HP then ni hapana kwa kweli..!!

Ila tunarudi palepale "in life there is no problem of being common person"

Nitatumia Techno Cammon Series mpaka mwisho wake.
Nitatumia HP mpaka mwisho mwake.

Na hili linaenda mpaka kwenye mavazi, vinywaji vya bar na sekta nyengine za maisha.

HAVE YOUR PRINCIPLE AND STICK TO THEM.

Dunia isikuendeshe kisa WAO WANASEMA.

#YNWA
Watu wengi hawaelewi haya mambo.
Naweza kuwa na Iphone lakini imetokea tu Sina upepo nazo, Hali kadhalika Samsung. Nilikua na A5 toleo la awali Kwa vile nilipewa kazini.

Binafsi nikawa na Tecno Kisha Infinix na ambayo niliipenda sana Hadi ilipopasuka kioo ( nimeitumia miaka mitatu) ndio nikahamia Oppo Reno 6 5G. Kwa ufupi hua siangalii watu wanatumia nini au wanasemaje kuhusu nnachotumia, najali kuridhika na maamuzi yangu.

Katika hayo yote, siwezi mdharau mtu Kwa kitu anachotumia, maamuzi na chaguzi zinatofautiana.
 
20220509_081653.jpg
 
Hiyo Ni Samsung s8 plus

Ni Snapdragon Version, Snapdragon 835

Model ni SM-N955U kwa maana ya kwamba ni Unlocked ya USA.

64GB

Waterproof

Simu bado inangaa kama inavyoonekana pichani.

Nipe offer yako.
 
Hii simu nzuri sana ukiwa na mishe zako hapa hapa town jioni uko zako home unaichaji lakini kwa mimi mtu wa safari safari hii hainifai itanikosesha madili sababu ya chaji itabidi nitafute li A series lolote lenye low display quality na battery la mAh 5000 au 6000 mpaka 7000
 
Hiyo simu inakaa na charge mzee.

Ukiambiwa Samsung s8 plus siyo sawa na S8 plus ya Exynos uwe unaelewa.

Hizo ni simu mbili tofauti.

Nimetoka nayo home asubuhi saa moja ikiwa na 88% saiv nmefika home ina 13%.

LMC_20220509_220645318_8.4.300.NIGHT.jpg
 
Hii simu nzuri sana ukiwa na mishe zako hapa hapa town jioni uko zako home unaichaji lakini kwa mimi mtu wa safari safari hii hainifai itanikosesha madili sababu ya chaji itabidi nitafute li A series lolote lenye low display quality na battery la mAh 5000 au 6000 mpaka 7000
Halafu simu zote za Samsung zina option ya kupunguza display quality.
 
Back
Top Bottom