Of course, hata mimi kama natumia kitu cha kijinga mtu akinidharau mi sawa tu. Ila ukweli utabaki kuwa ukweli tu. Tecno itabaki kuwa techno tu na ina watu wakeKila mtu hutumia kile apendacho PUNGUZA MAJIGAMBO.
Una wadharau ili iweje sasa.
Kuna vingii unatumia wenzako hawavitaki, na wao WAKUDHARAU?
#YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie dharau sipendi, ila [emoji28][emoji28] kwamba mtu anatumia tecno kwa kuipenda??
Binafsi nilikuwa natumia Huawei then Sony halafu nikaanza na Cammon Series.
Nilianza 8, 9 ....... 16,17 na sasa Nina 18.
Nina principle yangu "Sometimes there is no problem of being common person"
Kazini Kuna watu wanauza simu Kali tu za brand nyengine ila THIS IS ENOUGH FOR ME.
Kuna mtu aliniletea Samsung imetoka nje (ana kaka ake anamtumiaga electronic devices auze).
Hiyo simu humu bongo inauzwa Mil 2.4 yeye alisema kwakuwa tupo ofisi moja nimpe Mil 1 tu Tena kwa instalment au kama hii sitaki ana iphone anauza laki 6.
Wiki hiyohiyo nikanunua hii Techno kwa 760k.
Then nilikuwa nauwezo wa kuongeza 240k nikachukua ile Samsung.
Hilo limeenda mpaka kwenye PC, mi ni HP tuuu.
Hata itoke brand gani ya kuwa na uwezo mkubwaaa ila kama sio HP then ni HAPANA KWA KWELI.
Nililetewa DELL nzuri ya Core i 7 then yangu ni HP ya Core i 5 ila kwakuwa sio HP then ni hapana kwa kweli..!!
Ila tunarudi palepale "in life there is no problem of being common person"
Nitatumia Techno Cammon Series mpaka mwisho wake.
Nitatumia HP mpaka mwisho mwake.
Na hili linaenda mpaka kwenye mavazi, vinywaji vya bar na sekta nyengine za maisha.
HAVE YOUR PRINCIPLE AND STICK TO THEM.
Dunia isikuendeshe kisa WAO WANASEMA.
#YNWA
Amen.Jichunguze mkuu, kuna sehemu una tatizo ila wewe hujui.
Sijaona shida yoyote.Yaani uache Samsung akachuke tekno?
Huoni wewe ndio una tatizo la dharau na kuji "mwambafai"??Au wew ni msukuma?
Amen.Of course, hata mimi kama natumia kitu cha kijinga mtu akinidharau mi sawa tu. Ila ukweli utabaki kuwa ukweli tu. Tecno itabaki kuwa techno tu na ina watu wake
Uwe na wakati mwema ndugu wewe na wapendwa wako.....Pamoja mkuu, umeandika kwa busara kubwa. Uko sahihi pia
Asante mkuuUwe na wakati mwema ndugu wewe na wapendwa wako.....
Mkuu mimi siyo mtu wa kijitweza, labda kama huniuiAmen.
Au unataka dunia nzima iamini kwenye Imani yako?
Lako likiwa sahihi unataka Liwe sahihi kwa wote?
Sijaona shida yoyote.
Huoni wewe ndio una tatizo la dharau na kuji "mwambafai"??
#YNWA
Mkuu mimi siyo mtu wa kijitweza, labda kama huniui
Jichunguze mkuu, kuna sehemu una tatizo ila wewe hujui.
Soma hizo sentensi then utaelewa namaanisha nini.wew ni msukuma?
Watu wengi hawaelewi haya mambo.Binafsi nilikuwa natumia Huawei then Sony halafu nikaanza na Cammon Series.
Nilianza 8, 9 ....... 16,17 na sasa Nina 18.
Nina principle yangu "Sometimes there is no problem of being common person"
Kazini Kuna watu wanauza simu Kali tu za brand nyengine ila THIS IS ENOUGH FOR ME.
Kuna mtu aliniletea Samsung imetoka nje (ana kaka ake anamtumiaga electronic devices auze).
Hiyo simu humu bongo inauzwa Mil 2.4 yeye alisema kwakuwa tupo ofisi moja nimpe Mil 1 tu Tena kwa instalment au kama hii sitaki ana iphone anauza laki 6.
Wiki hiyohiyo nikanunua hii Techno kwa 760k.
Then nilikuwa nauwezo wa kuongeza 240k nikachukua ile Samsung.
Hilo limeenda mpaka kwenye PC, mi ni HP tuuu.
Hata itoke brand gani ya kuwa na uwezo mkubwaaa ila kama sio HP then ni HAPANA KWA KWELI.
Nililetewa DELL nzuri ya Core i 7 then yangu ni HP ya Core i 5 ila kwakuwa sio HP then ni hapana kwa kweli..!!
Ila tunarudi palepale "in life there is no problem of being common person"
Nitatumia Techno Cammon Series mpaka mwisho wake.
Nitatumia HP mpaka mwisho mwake.
Na hili linaenda mpaka kwenye mavazi, vinywaji vya bar na sekta nyengine za maisha.
HAVE YOUR PRINCIPLE AND STICK TO THEM.
Dunia isikuendeshe kisa WAO WANASEMA.
#YNWA
Hii simu nzuri sana ukiwa na mishe zako hapa hapa town jioni uko zako home unaichaji lakini kwa mimi mtu wa safari safari hii hainifai itanikosesha madili sababu ya chaji itabidi nitafute li A series lolote lenye low display quality na battery la mAh 5000 au 6000 mpaka 7000
Hiyo simu inakaa na charge mzee.Hii simu nzuri sana ukiwa na mishe zako hapa hapa town jioni uko zako home unaichaji lakini kwa mimi mtu wa safari safari hii hainifai itanikosesha madili sababu ya chaji itabidi nitafute li A series lolote lenye low display quality na battery la mAh 5000 au 6000 mpaka 7000
Halafu simu zote za Samsung zina option ya kupunguza display quality.Hii simu nzuri sana ukiwa na mishe zako hapa hapa town jioni uko zako home unaichaji lakini kwa mimi mtu wa safari safari hii hainifai itanikosesha madili sababu ya chaji itabidi nitafute li A series lolote lenye low display quality na battery la mAh 5000 au 6000 mpaka 7000
Siwezi kujichanganya mkuu ππHata siku wakikwambia ipo usinunue utalia na kusaga meno π π π .
Samsung zinaanzia 850k ila iko rated IP67