Mmmh ila watuuu🤣🤣🤣 simu ya 2018ina uzuri gani leo 2022??Hii simu nzuri sana ukiwa na mishe zako hapa hapa town jioni uko zako home unaichaji lakini kwa mimi mtu wa safari safari hii hainifai itanikosesha madili sababu ya chaji itabidi nitafute li A series lolote lenye low display quality na battery la mAh 5000 au 6000 mpaka 7000
Kuna NDUMBA mjue msije mkadhan kuna watu wanafanya vitu kwa kupenda wengine wanarogwa.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kwahiyo ulikataa samsung ambayo huku wanauza 2... ukachukua tecno ya laki 7 sababu unaipenda tecno?
Tofautisha flagship na middle range phones kama huamin jaribu kuchukua samsung s7 edge toleo la korea, USA, EU, AU au ata china alaf uchukue na A series kama A10s ya karibuni au ata A hz za chini ya 500k alaf utakuja kujua kwann S na Note series quality hazipungui.Mmmh ila watuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] simu ya 2018ina uzuri gani leo 2022??
Kuna Aseries quality nzuri na teknologia ya kisasa kwa bei zaidi au sawa na hiyo
Kuna NDUMBA mjue msije mkadhan kuna watu wanafanya vitu kwa kupenda wengine wanarogwa.
Mimi niliamin kuwa kuna watu wamerogwa pale jamaa yang alinunua tecno phantom x 1.2M (mbeya) alaf nikaichukua nikachukua camera ya samsung s9+ (simu ya muda) ambayo inauzwa sasa hv around 400-500k tecno ikakalishwa aliitumia miez mi3 tu akatangaza kuiuza akaenda kuiuza kwa hasara kwa wakulima kwenye mipunga mbarali.
Kama mtu hupendi samsung na iphone bora utumie tu Xiaomi au Oneplus ni simu bora sana
Tofautisha flagship na middle range phones kama huamin jaribu kuchukua samsung s7 edge toleo la korea, USA, EU, AU au ata china alaf uchukue na A series kama A10s ya karibuni au ata A hz za chini ya 500k alaf utakuja kujua kwann S na Note series quality hazipungui.
Ndio maana wanasema A series za Samsung ni infinix
Huwezi linganisha A10s 270k na s9ya 500k huu ulinganifu si sawazilizochangamka.
Display ya samsung s8,8+..... +++++ ni kali sana SUPER AMOLED si mchezo ndugu japo kama una hela ni bora uanzie s10+ zimekaa vizur sana alaf ata baterry zinakaa sana
Nilikuwa nakutafuta naona umejileta.Huwezi linganisha A10s 270k na s9ya 500k huu ulinganifu si sawa
Tafuta A32A52A72 au A33A53A73 linganisha na hizo S8S9S10
Camera[emoji108]
Display[emoji108]
Battery[emoji108]
Nilikuwa nakutafuta naona umejileta.
I'm taking Samsung S10 series ya mwaka 2019 kuliko a73 ya last month.
Achana na flagship mkuu.
Imagine S10 inarecord video 4k kwa frame rate ya 60hz kitu ambacho a73 haiwezi na huenda hata a74 haitaweza. Hapo hizo simu zimeachana 3 years.
Nina picha nimepiga na Samsung s8 plus tena Exynos with GCAM mod. I'm sure nikiziupload hapa kuna watu watajipiga ban.
Point yangu ni kwamba midrange hata ikiwa nzuri vipi ni midrange tu.Kuna kubishana na kujifunza kupatata ufahamu, binafsi sijisikii kubishana leo ila ni samsung user mzuri sana [emoji2]
Hongera kwa kutumia s10+ [emoji4] mimi nimejirusha kwa S22+ nikae humo kwa muda
Point yangu ni kwamba midrange hata ikiwa nzuri vipi ni midrange tu.
Bado kuna vitu vingi inakuwa imezidiwa na flagship ya miaka miwili au mitatu nyuma.
Kweli wewe ni ID yakoIla uongo dhambi tecno sio simu,NI kifaa Cha mawasiliano
S10 plus imetoka 2019 vs A73 imetoka 2022.Vitu vingi vipi sasa mfano hiyo 73 na s10+???
4k video quality? Kwamba Moja ni 30fps nyingine 60?
Kwa siku unachukua video ngapi kwenye simu yako??
Bwana kiduku kumbuka samsung S10 plus iliyokua inauzwa 2,500,000 ubora wake wa kilakitu sio kama hizi tunazouziwa sasa hivi kwa 600,000 hapo mjini kariakoo kwa usalama wa pesa ya mtanzani nibora hiyo 600k avute A32 bado inautamu wakeS10 plus imetoka 2019 vs A73 imetoka 2022.
S10 plus ni IP68 vs A73 ni IP67
S10 plus ni Dynamic Amoled vs A73 ambayo super amoled plus.
S10 plus ni HDR10+ Compliant vs A73 ambayo si HDR10 compliant.
S10 plus in QHD display with 522 ppi vs A73 yenye FHD display with 393ppi
S10 plus kioo chake ni Gorilla Glass 6 vs A73 ambayo ni Gorilla glass 5.
Kwenye camera S10 plus anamgalagaza a73 vizuri kabisa. Hizi 108MP ni non sense kwa midrange SoC.
Niendelee au niishie hapo?
Midrange ni midrange tu.
A73 alichomzidi s10 plus ni refresh rate na 5G labda. Sijui kama kuna kingine.
Google Pixel 6 pro kusoma huu uzi ni kujichosha 😎😎Iphone 13 kusoma uzi huu ni kujichosha
Ukitaka s10 plus mpya ipo... unapata unachana makaratasi mwenyewe ila siyo kkoo.Bwana kiduku kumbuka samsung S10 plus iliyokua inauzwa 2,500,000 ubora wake wa kilakitu sio kama hizi tunazouziwa sasa hivi kwa 600,000 hapo mjini kariakoo kwa usalama wa pesa ya mtanzani nibora hiyo 600k avute A32 bado inautamu wake
Huna uwezo wewe na koo zenu zote mbili na taifa lako kwa ujumla yani Tanzania (kapuku kabisa) wa kudharau bidhaa za Tecno!Mimi hata uniroge situmii simu ya Techno. Hata unipe na pesa, kifupi sijawahi ielewa hiyo simu na watumiaji wake wote huwa nawadharau
YOU MISS ALOTSMimi hata uniroge situmii simu ya Techno. Hata unipe na pesa, kifupi sijawahi ielewa hiyo simu na watumiaji wake wote huwa nawadharau
naomba maelezo kidogo hapo kwenye reno 6 5g,nipo mbioni kuchukua,n simu nzuri?Watu wengi hawaelewi haya mambo.
Naweza kuwa na Iphone lakini imetokea tu Sina upepo nazo, Hali kadhalika Samsung. Nilikua na A5 toleo la awali Kwa vile nilipewa kazini.
Binafsi nikawa na Tecno Kisha Infinix na ambayo niliipenda sana Hadi ilipopasuka kioo ( nimeitumia miaka mitatu) ndio nikahamia Oppo Reno 6 5G. Kwa ufupi hua siangalii watu wanatumia nini au wanasemaje kuhusu nnachotumia, najali kuridhika na maamuzi yangu.
Katika hayo yote, siwezi mdharau mtu Kwa kitu anachotumia, maamuzi na chaguzi zinatofautiana.