rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
Mmmh ila watuuuš¤£š¤£š¤£ simu ya 2018ina uzuri gani leo 2022??Hii simu nzuri sana ukiwa na mishe zako hapa hapa town jioni uko zako home unaichaji lakini kwa mimi mtu wa safari safari hii hainifai itanikosesha madili sababu ya chaji itabidi nitafute li A series lolote lenye low display quality na battery la mAh 5000 au 6000 mpaka 7000
Kuna Aseries quality nzuri na teknologia ya kisasa kwa bei zaidi au sawa na hiyo