Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Sasa kwann wanirudishe nyuma kiasi hicho, c bora wangenipa hata camera ya 2010'sTime travel usiogope
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwann wanirudishe nyuma kiasi hicho, c bora wangenipa hata camera ya 2010'sTime travel usiogope
Hata siku wakikwambia ipo usinunue utalia na kusaga meno 😅😅😅.Ni simu gani kutoka kampuni ya TECNO yenye water resistant?
Wacha kudanganya ummaCamon 17 pro, camon 18 premier na Phantom X
Kila mtu hutumia kile apendacho PUNGUZA MAJIGAMBO....... watumiaji wake wote huwa nawadharau
Kila mtu hutumia kile apendacho PUNGUZA MAJIGAMBO.
Una wadharau ili iweje sasa.
Kuna vingii unatumia wenzako hawavitaki, na wao WAKUDHARAU?
#YNWA
Binafsi nilikuwa natumia Huawei then Sony halafu nikaanza na Cammon Series.Mie dharau sipendi, ila 😅😅 kwamba mtu anatumia tecno kwa kuipenda??
😅😅😅😅 kwahiyo ulikataa samsung ambayo huku wanauza 2... ukachukua tecno ya laki 7 sababu unaipenda tecno?Binafsi nilikuwa natumia Huawei then Sony halafu nikaanza na Cammon Series.
Nilianza 8, 9 ....... 16,17 na sasa Nina 18.
Nina principle yangu "Sometimes there is no problem of being common person"
Kazini Kuna watu wanauza simu Kali tu za brand nyengine ila THIS IS ENOUGH FOR ME.
Kuna mtu aliniletea Samsung imetoka nje (ana kaka ake anamtumiaga electronic devices auze).
Hiyo simu humu bongo inauzwa Mil 2.4 yeye alisema kwakuwa tupo ofisi moja nimpe Mil 1 tu Tena kwa instalment au kama hii sitaki ana iphone anauza laki 6.
Wiki hiyohiyo nikanunua hii Techno kwa 760k.
Then nilikuwa nauwezo wa kuongeza 240k nikachukua ile Samsung.
Hilo limeenda mpaka kwenye PC, mi ni HP tuuu.
Hata itoke brand gani ya kuwa na uwezo mkubwaaa ila kama sio HP then ni HAPANA KWA KWELI.
Nililetewa DELL nzuri ya Core i 7 then yangu ni HP ya Core i 5 ila kwakuwa sio HP then ni hapana kwa kweli..!!
Ila tunarudi palepale "in life there is no problem of being common person"
Nitatumia Techno Cammon Series mpaka mwisho wake.
Nitatumia HP mpaka mwisho mwake.
Na hili linaenda mpaka kwenye mavazi, vinywaji vya bar na sekta nyengine za maisha.
HAVE YOUR PRINCIPLE AND STICK TO THEM.
Dunia isikuendeshe kisa WAO WANASEMA.
#YNWA
Soma Tena.😅😅😅😅 kwahiyo ulikataa samsung ambayo huku wanauza 2... ukachukua tecno ya laki 7 sababu unaipenda tecno?
Hongera mkuu una akili sana.Soma Tena.
Swali ulilouliza nishalijibu.
SOMA TENA.
#YNWA
Hongera mkuu una akili sana.
Ila sasa kama tecno wameanza kununua tecnologia ya kizamani kutoka samsung kwanini usinunue tu samsung upate tecnologia za kisasa.
Binafsi Tecno hapana sababu maandishi na maongezi ni tofauti na uhalisia wa device
Ram utaambiwa 8 lakini perfomance ni ya ram4
Camera ukipiga picha kwa device yao utaipenda picha sasa picha hiyo hiyo itume udisplay kwa device zenye kioo bora zaidi unaonekana kama umeungua mixer kijivu
Lifetime yake ni 1year ikimaliza hapo ni balaa
Simu ni ubao wa matangazo ya kila aina
HAVE YOUR PRINCIPLE AND STICK TO THEM.
Dunia isikuendeshe kisa WAO WANASEMA.
#YNWA
😉 hii principle inaapply kwa matumizi ya tecno tu#YNWA
😉 hii principle inaapply kwa matumizi ya tecno tu
#YNWAHilo limeenda mpaka kwenye PC, mi ni HP tuuu.
Hata itoke brand gani ya kuwa na uwezo mkubwaaa ila kama sio HP then ni HAPANA KWA KWELI.
Nililetewa DELL nzuri ya Core i 7 then yangu ni HP ya Core i 5 ila kwakuwa sio HP then ni hapana kwa kweli..!!
Ila tunarudi palepale "in life there is no problem of being common person"
Na hili linaenda mpaka kwenye mavazi, vinywaji vya bar na sekta nyengine za maisha.
HAVE YOUR PRINCIPLE AND STICK TO THEM.
Dunia isikuendeshe kisa WAO WANASEMA.
#YNWA
Mtu akikupigia sana kelele kwamba tecno nzuri...[emoji6] hii principle inaapply kwa matumizi ya tecno tu
Mkuu kuna watu wanajua kujimwamba 🙌🤣 et mtu anatumia tecno sababu anaipendaMtu akikupigia sana kelele kwamba tecno nzuri...
Mwambie akailoweke kwenye maji.....
Akishamaliza aje hapa atueleze uzuri wake....
Moja ya alama ya ukomavu kiakili ni kujizuia katika mambo au mijadala unayohisi au kuona huna michango chanya...........Mimi hata uniroge situmii simu ya Techno. Hata unipe na pesa, kifupi sijawahi ielewa hiyo simu na watumiaji wake wote huwa nawadharau
Pamoja mkuu, umeandika kwa busara kubwa. Uko sahihi piaMoja ya alama ya ukomavu kiakili ni kujizuia katika mambo au mijadala unayohisi au kuona huna michango chanya...........
Nje ya yote lakini hii ni biashara ambayo imeajiri watu kadhaa wanaohudumia familia zao na wapendwa wao kupitia vipato hivi....kwenda kombo kwa biashara hii ni kuangamia kwa familia zao........
Yakishapita matangazo uamuzi unabakia kwa mnunuzi......
Hali za kiuchumi hazifanani kama vilivyo vidole vyetu mikono......