TANZIA Teddy Mapunda Afariki Dunia hospitali ya Aga Khan Dar

RIP...

Hopefully hii sio trend imeanza tena....
 
Ngoja nimsubiri Steve Nyerere, poleni wafiwa.
 
Kifo hakifai kabisa kaacha bonge la jumba. Huyu ndio alishinda tenda ya kutengeneza na kuandaa majukwaa .
الْمَالُ وَالْبَنُونَ زِينَةُ الْحَيَاةِ الدُّنْيَا ۖ وَالْبَاقِيَاتُ الصَّالِحَاتُ خَيْرٌ عِنْدَ رَبِّكَ ثَوَابًا وَخَيْرٌ أَمَلًا
Mali na wana ni pambo la maisha ya dunia. Na mema yanayo bakia ni bora mbele ya Mola wako Mlezi kwa malipo, na bora kwa matumaini.
 
Nafikiri ,itakuwa heart attack,kutokana na kufunga Siku nzima.Mwili umekaa bila chakula siku nzima.Unapoonza kula lazima ,kuna mshituko wa mishipa na moyo utatokea.Kabla wengi hawajafunga ni muhimu kupima afya .
Mkristo anafunga?
 

Tanzania hamna madaktari, unaenda hospital mzima kabisa, unarudishwa maiti.
 
Mwisho alikuwa cjui mkuu wa tbl ckumbuki vzr ila alikuwa mtu wa masoko masoko cjui
Kuna mtu anajuwa alikuw Nani

Amupnzike kwa amani
 
Sikutaka ajira. Kuna kazi nafanya kiasi chake alinipa kazi namshukuru sana japo kazi nyingi alikuwa akiimpa mumewe ambazo zinafanana na ninazofanya mimi. Huyo dada ukisema wanawake matajiri 100 watoka kibongobongo anaweza kiwepo.

Hawezi kuwemo katika list ya wanawake 100 matajiri tz kama hatoki familia ya wahindi, waarabu na politicians
 
You are right.
The right hospital in Dar is MNH.
I was attended by up to twelve doctors from the resident all the way up to a consultant.
Wana crack vichwa ikija kuamuliwa Cha kufanya Hadi Raha
Yaaah, ukweli MNH inabidi wapewe tuzo. Nilipewa huduma wiki flani pale hadi nikahisi wameogopa hii tai niliyovaa au. Wataalam si chini ya wanne wanaumiza kichwa juu ya tatizo.
 
Mkuu umeongea mambo mengi sana of which most of them I agree with you.Sitaki kuingiza mambo ya magufuli n.k c'se we both know alizingua kwenye angles nyingi sana.
Nimeongelea muhimbili as taasisi kwamba,kwenye specialist services ni UNBEATEN.
N.B:Mkuu sio kila anayesifia taaisis yeyote ya serikali ni Praise Team wa Gvmnt.Sometimes its just a common guy appreciating something...
 
Mzito mmoja ambaye alikuwa na nyadhifa mbali mbali ndani na nje ya nchi.
Nauliza tu Mkuu
Kwani ni nani huyu
Alijua kujipamba kwa pete na mikufu
Kula futari Serena Hotel well Mungu tumwogope
Amemaliza mwendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…