TANZIA Teddy Mwanambilimbi hatunaye tena

TANZIA Teddy Mwanambilimbi hatunaye tena

Status
Not open for further replies.
Uliposema 1987, nikaona you must have enough experience to embark on that! At that time I had my first degree -UDSM two yrs before!
Wakati unaulizia nursing course!!! What a mismatch
 
RIp Teddy...lakin mbn marehemu atumjui ..alafu inaonekana amekufa kwa stress za maisha...swami ya tano lazma tufe wengi.
 
Wanasiasa walisema wana inject Fund hawaoni Gari. Walitaka liwe commercialized mapema....as if una unda Trailler
Wanasiasa wanathamini shughuli zao za kisiasa kuliko kitu kingine chochote kile.

Wao kugharamia mabilioni kwenye chaguzi zinazoibuka kila kukicha roho zao kwatu kabisa, ila maeneo mengine ni wepesi kweli kuona pesa inapotea.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom