TANZIA Teddy Mwanambilimbi hatunaye tena

TANZIA Teddy Mwanambilimbi hatunaye tena

Status
Not open for further replies.
Nawish sana wawe wanatupa mafunzo ya maisha haswa haya ya kitanzania ili vijana tujipange vyema taratibu kwa manufaa ya kesho [emoji1433][emoji1433][emoji1433]
Wazee wenyewe siku hizi wanashinda wanacheki shilawadu na kuwaza upigaji wa katerero tu.
 
mbona hamjaunda gari mzee! weka vitu mzee
dah nimecheka sana japo tupo msibani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

wewe bila shaka kabila lako litakuwa na utani wa kijadi na kabila la marehemu.
 
wala siyo watani, mtu anaposema yeye ni automobile engineer, unategemea clue ya kuunda gari nchini or something of that nature..................... 1987 todate hakuna clue!
 
Wapenzi wa Sanaa kama mnamjua mtu social Kaka yetu Teddy Mwanambilimbi kaka yake Deo Mwanambilimbi ametutoka na hatunaye tena.

Bwana ametoa Bwana ametwa, Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un ![emoji24] [emoji24] [emoji24]
Teddy Mungu amlaze mahali pema peponi. Huyu jamaa alikuwa anafanyakazi Ikulu
 
RIP Mwanambilimbi! Mungu akupe pumziko la milele
 
Tehehehehehehe nilihisi kitu kama hiki kitatokea
acha kitokee rafiki, watu wanaudhi, huyu mtu ananiudhi. I am ready to face any consequences, lakini nina browser kama tano hapa na some few IDs, and my wife's, kid's if needs to be, surely I, will not be incommunicado! After all, I can do without JF anyway!
 
Uliposema 1987, nikaona you must have enough experience to embark on that! At that time I had my first degree -UDSM two yrs before!
Sasa Mkuu wewe Ni graduate wa UD 1985 lakini ujenzi wako wa hoja Ni Kama wa graduate wa pale Ustawi wa Jamii Sinza
 
Wapenzi wa Sanaa kama mnamjua mtu social Kaka yetu Teddy Mwanambilimbi kaka yake Deo Mwanambilimbi ametutoka na hatunaye tena.

Bwana ametoa Bwana ametwa, Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un ![emoji24] [emoji24] [emoji24]
Rest in eternal peace Teddy, long way back we were close buddies akiwa Arusha tech. Such a charming personality, sad news.
 
Kwa hiyo familia yao wote walikuwa watu wa mchundo? Huyu alisoma Telecoms pale DIT!
Marehemu alisoma pia NIT course ya Transport Management. Ndio maana alikaa sana Ikulu kama Transport officer. Mdogo wake Linus ni kweli alikuwa na FTC ya Telecom. Baadaye alichukua Advanced Diploma ya Telecoms hapo hapo DIT
 
Pumzika kwa amani Teddy nakumbuka Mara ya mwisho tulikunywa chai pamoja miaka mingi enzi hizo nikivua samaki feri wewe ukiwa ikulu ya magogoni
 
acha kitokee rafiki, watu wanaudhi, huyu mtu ananiudhi. I am ready to face any consequences, lakini nina browser kama tano hapa na some few IDs, and my wife's, kid's if needs to be, surely I, will not be incommunicado! After all, I can do without JF anyway!
Pole sana mkuu. Naona ni balehe na ujuaji mwingi, ndio vinasumbua wakati mwingine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom