Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
garage yako ipo wapi mkuu tuje tukuungisheAutomotive Engineering tulikuwa Darasa moja...
Kila kitu kina chanzo chake kikuu, siku utakayo elewa hili ndio utajua kwanini....?mlikula tu miamala ya serikali output ziro
Hata INTERNET ilianza kama project ya jeshi ila baadae ikawa kibiashara mkuu.Gari la Nyumbu liliundwa na kutumika Jeshini tu. Kumbuka Nyumbu project ulikuwa ni mradi ndani ya JWTZ
Huko kwenye misiba ya kawaida unapoenda watu wote huwa wanalia tu hakuna utani ?Guys let us be patient if not humble even for a minutes, huu ni uzi wa msiba. Hayo mengine ya ujuzi na tulifanya nini au kwanini hatukufanya kipindi chote hicho, yaje yatafutiwe uzi wake ila sio huu.
Chupi za "LESI" tu wanashindwa kutengeneza ije kua Ndege mkuu?Hahaha, haya mama ngoja tuone ninyi mtakao tengeneza ndege, tena uzuri ndio mpo ndani ya sera mujarabu na muda muafaka.. Hivi imebaki miaka mingapi tukitoa 5 au 10?
Shikamooooo!Uliposema 1987, nikaona you must have enough experience to embark on that! At that time I had my first degree -UDSM two yrs before!
Marahaba mwanangu!Shikamooooo!
Hahaha siwezi pingana na wewe mkuu wazee wa sasa hivi ni tatizo ,sasa sijui sisi vijana wa sasa hivi kwenye uzee wetu tutakuwajeHahah wazee wengi siku hizi hayo ndo mawazo yao mkuu.
Tanzania kipaji chetu Kilimo..tulime.saana tuuze mazao na bidhaa za kilimo nje. Mambo ya magari sjui nini tuwaachie wenyewe. Mungu katupa ardhi tulime...tufuge...na tuchimbiwe madini tugawiwe mrabaha. Vyoo vya shule tu mpaka msaada ndio tutengeneze Gari[emoji12] [emoji12]Wangejua kuwa katika product research and development , kutoa product ikawa marketable inaweza kuchukua even 20 or more yrs! Kwenye pharmaceutical product development it can take even 50 yrs, kwamba hii sasa dawa itumike kwa binadamu!
Marahaba binti wetu! Adabu ndiyo hiyoApumzike kwa amani
Shkamo
Kilimo chenyewe ndo hiki cha kilimo cha TIKITI MAJI mkuu,hahah.Watu wanalimaga nyanya nyingi balaa zinaishia kulisha Ng'ombe eti hakuna soko.Tanzania kipaji chetu Kilimo..tulime.saana tuuze mazao na bidhaa za kilimo nje. Mambo ya magari sjui nini tuwaachie wenyewe. Mungu katupa ardhi tulime...tufuge...na tuchimbiwe madini tugawiwe mrabaha. Vyoo vya shule tu mpaka msaada ndio tutengeneze Gari[emoji12] [emoji12]
Uko sahihi, LAKINI, Japan walisema kabisa kuwa, we do not have to invent the wheel, peleka watu USA wasome, walipokuja wakafanya inovations, unaona sasa walipo. Tulime kama ulivyopendekeza, Jeshi tuwaachie NYUMBU gari wadevelop, kidogo kidogo.............Tanzania kipaji chetu Kilimo..tulime.saana tuuze mazao na bidhaa za kilimo nje. Mambo ya magari sjui nini tuwaachie wenyewe. Mungu katupa ardhi tulime...tufuge...na tuchimbiwe madini tugawiwe mrabaha. Vyoo vya shule tu mpaka msaada ndio tutengeneze Gari[emoji12] [emoji12]
Vinakuwepo, ila kilichotaka kutokea hapa kilikuwa kinaelekea zaidi ya utani, na mbaya zaidi "wanaotaniana" si dhani kama mindset zao zilikuwa zimekuwa tuned kwenye matani zaidi ya masimango.Huko kwenye misiba ya kawaida unapoenda watu wote huwa wanalia tu hakuna utani ?
Muda ndio utaongea mkuu, maana inasemekana hata kijiko kilishindikana kutengenezeka. Sasa ngoja tuone hawa wanyoa viduku na watengeza makalio, kucha, kope, na matiti wataacha legacy ipi?Chupi za "LESI" tu wanashindwa kutengeneza ije kua Ndege mkuu?
We ni kaka yangu! Hiyo '87 nipo form four pale Lake Seco MZA kwa De'Souza na Maga!Marahaba mwanangu!
Kwa magadula enzi hiyoWe ni kaka yangu! Hiyo '87 nipo form four pale Lake Seco MZA kwa De'Souza na Maga!
Alikuja kumalizia moshi tech na nilikuwa naye class moja na tulimaliza woteDuuh RIP Teddy. Nimesoma naye Ifunda Tech. Sec. School Ingawa alifukuzwa then tukakutana naye Arusha Tech. College