TANZIA Teddy Mwanambilimbi hatunaye tena

TANZIA Teddy Mwanambilimbi hatunaye tena

Status
Not open for further replies.
Gari la Nyumbu liliundwa na kutumika Jeshini tu. Kumbuka Nyumbu project ulikuwa ni mradi ndani ya JWTZ
Hata INTERNET ilianza kama project ya jeshi ila baadae ikawa kibiashara mkuu.
 
Guys let us be patient if not humble even for a minutes, huu ni uzi wa msiba. Hayo mengine ya ujuzi na tulifanya nini au kwanini hatukufanya kipindi chote hicho, yaje yatafutiwe uzi wake ila sio huu.
Huko kwenye misiba ya kawaida unapoenda watu wote huwa wanalia tu hakuna utani ?
 
Wangejua kuwa katika product research and development , kutoa product ikawa marketable inaweza kuchukua even 20 or more yrs! Kwenye pharmaceutical product development it can take even 50 yrs, kwamba hii sasa dawa itumike kwa binadamu!
Tanzania kipaji chetu Kilimo..tulime.saana tuuze mazao na bidhaa za kilimo nje. Mambo ya magari sjui nini tuwaachie wenyewe. Mungu katupa ardhi tulime...tufuge...na tuchimbiwe madini tugawiwe mrabaha. Vyoo vya shule tu mpaka msaada ndio tutengeneze Gari[emoji12] [emoji12]
 
Kilimo chenyewe ndo hiki cha kilimo cha TIKITI MAJI mkuu,hahah.Watu wanalimaga nyanya nyingi balaa zinaishia kulisha Ng'ombe eti hakuna soko.
 
Tanzania kipaji chetu Kilimo..tulime.saana tuuze mazao na bidhaa za kilimo nje. Mambo ya magari sjui nini tuwaachie wenyewe. Mungu katupa ardhi tulime...tufuge...na tuchimbiwe madini tugawiwe mrabaha. Vyoo vya shule tu mpaka msaada ndio tutengeneze Gari[emoji12] [emoji12]
Uko sahihi, LAKINI, Japan walisema kabisa kuwa, we do not have to invent the wheel, peleka watu USA wasome, walipokuja wakafanya inovations, unaona sasa walipo. Tulime kama ulivyopendekeza, Jeshi tuwaachie NYUMBU gari wadevelop, kidogo kidogo.............
By the way JPN wanalima sana.
 
Huko kwenye misiba ya kawaida unapoenda watu wote huwa wanalia tu hakuna utani ?
Vinakuwepo, ila kilichotaka kutokea hapa kilikuwa kinaelekea zaidi ya utani, na mbaya zaidi "wanaotaniana" si dhani kama mindset zao zilikuwa zimekuwa tuned kwenye matani zaidi ya masimango.
Na kama ukisoma vizuri btn the lines, ni kama marehemu ndio alikuwa anataka kusemwa kwamba amefanya nini pamoja na hizo kozi zote alizopitia.?
 
Chupi za "LESI" tu wanashindwa kutengeneza ije kua Ndege mkuu?
Muda ndio utaongea mkuu, maana inasemekana hata kijiko kilishindikana kutengenezeka. Sasa ngoja tuone hawa wanyoa viduku na watengeza makalio, kucha, kope, na matiti wataacha legacy ipi?
 
Duuh RIP Teddy. Nimesoma naye Ifunda Tech. Sec. School Ingawa alifukuzwa then tukakutana naye Arusha Tech. College
Alikuja kumalizia moshi tech na nilikuwa naye class moja na tulimaliza wote
1984. R. I. P mate wangu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom