TANZIA Teddy Mwanambilimbi hatunaye tena

TANZIA Teddy Mwanambilimbi hatunaye tena

Status
Not open for further replies.
Ni jambo la kusikitisha Nyumbu walifanikiwa "ku-assemble" vyuma na Injini lakin badala ya kwenda mbele vyuma hivyo vilivyoungwa pamoja na injini (wenyewe wanaita gari) vikawa vinarudi nyuma. Jambo pekee kambi zilizofanikiwa Ni kujenga kumbi za Sherehe, bar na shule zenye matokeo hafifu katika taaluma.
**Mnatuvisha majoho mazito wananchi.
Inasikitisha sana unapo toa taarifa ambazo kimsingi siyo sahihi. Gari la Nyumbu pamoja na madhaifu madogo ilishindwa kuwa commercialized kwa sababu ya cost implications. Utengenezaji wake ulitumia muda mŕefu kwa sababu ya production process kuwa not automated. Hivyo kupelekea Labour cost kuwa kubwa. Isingeweza kushindani kimsingi na Magari toka Japani yanayo tengenezwa kwa robbot. Investment kubwa ya sophisticated Technology ilikuwa haikwepeki in order to move one step forward. Ilihitaji utashi mkubwa wa kisiasa in terms of funding. Serikali haikuwa tayari kwa hilo. Ndio maana more than 15 Engineers tuliondoka zetu....
 
Retired am not Automobile Engineer. Nilisoma Ifunda Tech. Secondary School Autombile. Marehemu alikuwa mbele yangu. Nikamaliza 1986. Then nikajoin Arusha Tech. College 1987 to 1990 tukawa Darasa moja nikachukua FTC in Automotive Engineerin. Baadaye nikasoma UDSM Bachelor of Science in Mechanical Engineering. Sina uhakika kama kuna chuo Tanzania kinatoa degree in Automotive Engineering labda Advanced level from NIT
 
So picha ya marehemu ina ruhusiwa kuweka humu?/Unclassified? Juzi nimesikia Rais Kagame ni komando kumbe marehemu naye alikuwa muFTC. Wakati tukijua ni mwanamziki.

Pumzika kwa amani Teddy.
Unachanganya mkuu kuna Teddy,Linus na Deo nadhani Deo ndiye yule mwanamuziki, huyu Linus ndio BOT marehemu ni Teddy
 
Retired am not Automobile Engineer. Nilisoma Ifunda Tech. Secondary School Autombile. Marehemu alikuwa mbele yangu. Nikamaliza 1986. Then nikajoin Arusha Tech. College 1987 to 1990 tukawa Darasa moja nikachukua FTC in Automotive Engineerin. Baadaye nikasoma UDSM Bachelor of Science in Mechanical Engineering. Sina uhakika kama kuna chuo Tanzania kinatoa degree in Automotive Engineering labda Advanced level from NIT
Elimu ya kuunga-unga no wonder mlishindwa pale Nyumbu pamoja na support toka kwa Mzee Nyerere (Mungu amrehemu huko alipo). Nyie ndio mmechangia pakubwa kudumaza taifa hili. Mmefyonza ruzuku za serikali lakini output SIFURI.
 
Uliposema 1987, nikaona you must have enough experience to embark on that! At that time I had my first degree -UDSM two yrs before!
Shikamoo baba, yaani nilikua hata sijazaliwa lol!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom