Tegemea hili kutokea juu ya Tundu Lissu hivi punde

Tegemea hili kutokea juu ya Tundu Lissu hivi punde

Serikali ya CCM imefanya makubwa na tumeona kwa macho kupitia mabango ya kila halmashauri na tumesikia kwa masikio kwenye kila redio baada ya chambuzi za michezo hutoa airtime kusifia makubwa yaliyofanywa na serikali sikivu ya CCM.

Wananchi wana kila sababu ya kuichagua tena CCM kwa kuipa mitano tena. Wakubali tu kufanya reforms za uchaguzi kwa kutuwekea tume huru na kutupatia katiba mpya yenye kuwajibisha mafisadi yanayotajwa na CAG.

CCM fanyeni uzalendo huo. Nina imani na Chama Cha Mapinduzi.
 
"MWENYE NCHI HANA AJENDA YA KUMTENDEA UBAYA TUNDU LISSU JAPO VIBARAKA NDIO WANAOSHINIKIZA SANA ILA KAULI YA MWENYE NCHI NI HAPANA."

Nanukuu maneno yako mleta Mada! JPM apumzike kwa Amani, alisingizwa mengi sana!
among visionary arguments,
well done gentleman 💪👊
 
Nina mashaka na Hilo neno "Angalizo" isije kua Kuna kitu watu wanapanga kumdhuru" me nitajikita hapo..

Kama kweli chanzo Cha ndani ulichosema kimekwambia hayo means,Alie watuma wamkamate LISSU ndio huyo huyo anataka Kumdhuru Lissu,hiyo statement ya kusema "Mkuu kasema HAPANA"ni
plausible deniability muhusika KAJITOA KIJANJA

Kama umetumwa kuandika ulichoandika nafikiri kwamba Kuna baya linaweza tokea Ila mnaandaa mazingira ya kutowajibika kwa wahusika wakuu,ili Fulani aonekane MSAFI hajabariki lililitokea na yeye sio mtu wa hivyo..

Hapa ujumbe wa jumla ambao bandiko lako halijasema ni kwamba

LISU IS IN DANGER
 
Ktk mazingira ambayo kula zinapigwa then wasimamiz ni wateule wa rais ni waz kuwa hapo hakuna demokrasia isipokuwa wao ndio wataamua upewe nafas ngap za ushindi ili kufanikisha kichaka chao cha demokrasia
Lisu ana hoja na nyuma yake kuna watu wengi wana msapoti anza na mm
 
Yaani Msimamizi wa NEC ni aliyekuwa mjumbe wa CCM NEC.

DED ni aliyekuwa mgombea wa ccm na DC ni Mwanakamati ya siasa ya ccm harafu hao ndio wanasambaza box za kura, kuzihesabu na kutangaza.
 
Serikali ya CCM imefanya makubwa na tumeona kwa macho kupitia mabango ya kila halmashauri na tumesikia kwa masikio kwenye kila redio baada ya chambuzi za michezo hutoa airtime kusifia makubwa yaliyofanywa na serikali sikivu ya CCM.

Wananchi wana kila sababu ya kuichagua tena CCM kwa kuipa mitano tena. Wakubali tu kufanya reforms za uchaguzi kwa kutuwekea tume huru na kutupatia katiba mpya yenye kuwajibisha mafisadi yanayotajwa na CAG.

CCM fanyeni uzalendo huo. Nina imani na Chama Cha Mapinduzi.
Kuna msemo usemao, 'KIZURI CHAJIUZA ila KIBAYA CHAJITEMBEZA'...kazi kwako.
 
Soma in-between lines utaelewa nilichokiandika mkuu.
Nimekuelewa sana chief.
CCM wanajijua wazi kabisa kwamba hawana huo uzuri wanaojitanabaisha kuwa nao kwa wananchi. Na wanajua fika kwamba wananchi wanajua hilo.

Hivyo, wanajua pia fika kwamba kuweka mazingira huru na ya haki ya uchaguzi ni kujiangamiza.
 
Kama kweli TL amesimamia msimamo wake basi nitamuunga mkono mpaka mwisho.
Naamini Watanzania wengi watasimama naye na tuendako watanzania watachukua maamuzi yatakayoshangaza watu.

Huwezi kumuweka mbali Rais na hili, mtu anakamatwaje na kesi ya treason Rais usijue na kuita washauri wako wa Sheria na mwanasheria mkuu kulijadili maana lina impact kwenye image ya nchi.
 
Back
Top Bottom