Erick Kabendera anaangalia ulichoandika hapa anacheeka!JPM aliamrisha Tundu apigwe risasi wakati anahudhuria bunge. JPM alikuua Ben Saanane kwa bastola yake mwenyewe baada ya Ben kushikikia msimamo kuwa PhD ya Magu ni FEKI
Haahaa thubutuuuuSerikali ya CCM imefanya makubwa na tumeona kwa macho kupitia mabango ya kila halmashauri na tumesikia kwa masikio kwenye kila redio baada ya chambuzi za michezo hutoa airtime kusifia makubwa yaliyofanywa na serikali sikivu ya CCM.
Wananchi wana kila sababu ya kuichagua tena CCM kwa kuipa mitano tena. Wakubali tu kufanya reforms za uchaguzi kwa kutuwekea tume huru na kutupatia katiba mpya yenye kuwajibisha mafisadi yanayotajwa na CAG.
CCM fanyeni uzalendo huo. Nina imani na Chama Cha Mapinduzi.
Kafie mbele huko lipi alilosingiziwa qmbalo hutaki kulisema"MWENYE NCHI HANA AJENDA YA KUMTENDEA UBAYA TUNDU LISSU JAPO VIBARAKA NDIO WANAOSHINIKIZA SANA ILA KAULI YA MWENYE NCHI NI HAPANA."
Nanukuu maneno yako mleta Mada! JPM apumzike kwa Amani, alisingizwa mengi sana!
Ukiamua kutumia akili badala ya mihemuko (emotions) utajifunza mengi na ndio lengo la kupewa huo ubongo ambao unatumia kwenye matusi.Kafie mbele huko lipi alilosingiziwa qmbalo hutaki kulisema
😅😅😅Mungu amsameheIpo siku utafungwa jela na hakuna atakayekutetea.
Acha kufuahia mabaya yakiwapata wenzako.
Mwalimu unaumia Lissu kupewa taarifa na kitengo juu ya Kila Tukio linalojiri HekaluniHao tissue wana report kwa nani Hadi wampe Lissu ufalme?
Anyway Mimi ninaelewa, niliuliza kwa manufaa ya wengine.Mwalimu unaumia Lissu kupewa taarifa na kitengo juu ya Kila Tukio linalojiri Hekaluni
Uhalisia ukoje.tuoe dondooWote mko wrong
Uhalisia hauko hivyo
Kuna watu humu kwa jinsi wanavyofikiri au kwa kujifanya wanafikiri hivyo, inasikitisha sana! Unafiki ni kitu kibaya sana!Hao viongozi nao wa dini walitaka twende hivyo hivyo? Ni viongozi gani wasiojali maumivu ya watanzania?
Bwana ni Nguvu yangu na Wokovu wangu.
DJ mbowe kama namuona huko aliko kaamaki kwa kusema ahiyaaaaaaa Mzinga wa nyuki na asali yake lisu kaimwagaJuzi nilipost mambo Saba yatakayotokea kueleka UCHAGUZI MKUU 2025 na jambo la kwanza nilisema Mh. Tundu A. Lissu ataachiwa kabla ya mwezi Juni kuisha.
Leo zimezuka taarifa kuwa Mh. Tundu Lissu ametolewa gerezani Keko na kupelekwa kusikojulikana. Nilikuwa nasubiria kujilizisha kutoka Deep source zangu Kuanzia tukio la Mh. Freeman Mbowe kumtembelea Hadi tukio la leo hii kutolewa Keko Kwa msafara maalumu.
Ukweli kutoka chanzo chá ndani kabisa ni kwamba Mh. Tundu Lissu ni Kweli alitolewa Keko majira kati ya saa 5:38 aSbh Hadi saa 6:10 kwa order toka Juu na kupelekwa sehemu kwajili ya negotiation na viongozi kadhaa wakuu katika nchi juu ya REFORMS NA UCHAGUZI MKUU KUIRUDISHA CHADEMA ULINGONI. Mazungumzo ya leo yamekuja baada ya mazungumzo ya awali na mwenyekiti aliyepita ambaye alikuwa Messenger wa Kile ambacho kilitarajiwa kuzungumzwa leo na MSIMAMO WA TUNDU LISSU umebaki Ule Ule kuwa NO REFORMS NO ELECTION AND BETTER TO DIE.... OVER MY DEAD BODY I WON'T COMPROMISE MY STATUS.
Taarifa toka ndani zinaeleza kuwa kikao cha leo kilihuzuliwa na viongozi kadhaa wa kidini wenye nguvu ya ushawishi Lakini Bado msimamo wa Lissu ni Ule Ule.
Kuna pressure kubwa sana kutoka upande wa gavoo na tutarajie Kuona kauli za mawaziri na viongozi wa CHAMA kuendelea kuitetea serikali Kwa kisingizio cha MUDA WA REFORMS HAUPO ILA TUNA AHIDI UCHAGUZI HURU KWELI KWELI
Mh. Tundu Lissu Yupo sehemu salama na atarudishwa Keko Kwajili ya kupanda kizimbani Tarehe 24. Japo Pia Kuna uwezekano wa kuhamishiwa Ukonga. Kitu pekee chakumfanya ni watanzania waendelee kuomba Wale chawa wasije Fanya Sifa kinyume na maagizo ya Mh. Rais na wakamdhuru. MWENYE NCHI HANA AJENDA YA KUMTENDEA UBAYA TUNDU LISSU JAPO VIBARAKA NDIO WANAOSHINIKIZA SANA ILA KAULI YA MWENYE NCHI NI HAPANA.
View attachment 3308605
Kuna mama kageuza neno uhaini kama pichu yakeCongratulations gentleman,
upotoshaji at it's best wakati mahabusu akiinjoy mandhari nyingine mpya ya korokoroni katika gereza la ukonga kulingana na mahitaji ya physical condition ya mshukiwa 🐒
😀😀😀DJ mbowe kama namuona huko aliko kaamaki kwa kusema ahiyaaaaaaa Nzinga wa nyuki na asali yake lisu kaimwaga
Ameeni ameeni....kwenye mapambano ya Reforms lazima tukitane na mambo yanayoumiza. Hakuma kitu kizuri kinakuja kwa urahisi.mungu mwingi wa rehema , atampigania