SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,853
- 8,252
yani anaweza kuchuliwa na kunyooshwa nyooshwa na mpaka mafuta yuleeendiko kwenye chumba chenye usalama zaidi akitembelewa na wageni š
Awwwkey
yani anaweza kuchuliwa na kunyooshwa nyooshwa na mpaka mafuta yuleeendiko kwenye chumba chenye usalama zaidi akitembelewa na wageni š
Ndo shida ya TALTuwakumbushe tu SISIYEMU na Vikao vyao vya gizani, Pamoja na washenga wao.
TAL hanaga Siri, Akitoka tu atatuambia mlicho kua mnamwambia š
Unataka wote wawepo sehemu mojaVipi Rugambwa? Au Niwemugizi?
Ipo siku utafungwa jela na hakuna atakayekutetea.Congratulations gentleman,
upotoshaji at it's best wakati mahabusu akiinjoy mandhari nyingine mpya ya korokoroni katika gereza la ukonga kulingana na mahitaji ya physical condition ya mshukiwa š
Gentleman,Ipo siku utafungwa jela na hakuna atakayekutetea.
Acha kufuahia mabaya yakiwapata wenzako.
Unawezaje kumtofautisha the so called mwenye nchi na yanayoendelea.Juzi nilipost mambo Saba yatakayotokea kueleka UCHAGUZI MKUU 2025 na jambo la kwanza nilisema Mh. Tundu A. Lissu ataachiwa kabla ya mwezi Juni kuisha.
Leo zimezuka taarifa kuwa Mh. Tundu Lissu ametolewa gerezani Keko na kupelekwa kusikojulikana. Nilikuwa nasubiria kujilizisha kutoka Deep source zangu Kuanzia tukio la Mh. Freeman Mbowe kumtembelea Hadi tukio la leo hii kutolewa Keko Kwa msafara maalumu.
Ukweli kutoka chanzo chĆ” ndani kabisa ni kwamba Mh. Tundu Lissu ni Kweli alitolewa Keko majira kati ya saa 5:38 aSbh Hadi saa 6:10 kwa order toka Juu na kupelekwa sehemu kwajili ya negotiation na viongozi kadhaa wakuu katika nchi juu ya REFORMS NA UCHAGUZI MKUU KUIRUDISHA CHADEMA ULINGONI. Mazungumzo ya leo yamekuja baada ya mazungumzo ya awali na mwenyekiti aliyepita ambaye alikuwa Messenger wa Kile ambacho kilitarajiwa kuzungumzwa leo na MSIMAMO WA TUNDU LISSU umebaki Ule Ule kuwa NO REFORMS NO ELECTION AND BETTER TO DIE.... OVER MY DEAD BODY I WON'T COMPROMISE MY STATUS.
Taarifa toka ndani zinaeleza kuwa kikao cha leo kilihuzuliwa na viongozi kadhaa wa kidini wenye nguvu ya ushawishi Lakini Bado msimamo wa Lissu ni Ule Ule.
Kuna pressure kubwa sana kutoka upande wa gavoo na tutarajie Kuona kauli za mawaziri na viongozi wa CHAMA kuendelea kuitetea serikali Kwa kisingizio cha MUDA WA REFORMS HAUPO ILA TUNA AHIDI UCHAGUZI HURU KWELI KWELI
Mh. Tundu Lissu Yupo sehemu salama na atarudishwa Keko Kwajili ya kupanda kizimbani Tarehe 24. Japo Pia Kuna uwezekano wa kuhamishiwa Ukonga. Kitu pekee chakumfanya ni watanzania waendelee kuomba Wale chawa wasije Fanya Sifa kinyume na maagizo ya Mh. Rais na wakamdhuru. MWENYE NCHI HANA AJENDA YA KUMTENDEA UBAYA TUNDU LISSU JAPO VIBARAKA NDIO WANAOSHINIKIZA SANA ILA KAULI YA MWENYE NCHI NI HAPANA.
View attachment 3308605
Unawezaje kumtofautisha the so called mwenye nchi na yanayoendelea.
Kifupi umekuja kumsafisha, asiyesfishika, kaua wengi sana mpaka sasa kwa kuendeleza tamaa za madaraka.
Wewe siulisema umeshaacha tabia yako ya ushoga !! Mbona sasa umerudia tena tabia yako?Katika vitu ambavyo mama nampenda ni kuwa ana Imani sana na Mungu na pia ni muumini sana na dini yake. Kwa hapo Mungu azidi kumpigania Rais wetu azidi kumpa afya njema na busala iliyotukuka.Pili Rais wetu ana nia njema na nchi yetu, sema Kuna uharaka sana wa kibadirisha hizo Sheria. Lakini tumpe muda Rais wetu ninaamini hili swala Mama yetu atalifanya kwa sababu ni muumini sana wa dini.Kwa sasa muda wa No reform no election ni mdogo sana. Tukisema tupambane sana hamna Rais mwingine atakaye fanikisha hili jambo. Tumuache Mama uchakuzi uishe. Mama atarekebisha kila kitu. Pia tukumbuke kuwa harakq harakq Haina baraka.
Kuna Mhalifu zaidi ya Kailima??Gentleman,
uhalifu ni uhalifu tu, hayupo alie juu ya sheria Tanazania,
na hakuna nafasi ya kukenua na muhalifu yeyote š
calm down and relax gentleman šKuna Mhalifu zaidi ya Kailima??
Halafu huyo ambae hana NIA MBAYA ndie aliebariki mauaji ya mzee Ali Kibao.Ni kweli,
Amepewa kesi hiyo kwa maelekezo ya huyo wanayedai hana Nia mbaya.
Nilichoongea Jana hatimaye KIMETIMIA.... LISSU YUPO UKONGA KWASASA... TISS WANAMPA MAXIMU SECURITY KITU AMBACHO UPANDE WA PILI HAWAKIPENDI... IN SHORT ANAISHI KAMA MFALME NA NI FULL STORY NA WATU WA USALAMA MUDA WOTEJuzi nilipost mambo Saba yatakayotokea kueleka UCHAGUZI MKUU 2025 na jambo la kwanza nilisema Mh. Tundu A. Lissu ataachiwa kabla ya mwezi Juni kuisha.
Leo zimezuka taarifa kuwa Mh. Tundu Lissu ametolewa gerezani Keko na kupelekwa kusikojulikana. Nilikuwa nasubiria kujilizisha kutoka Deep source zangu Kuanzia tukio la Mh. Freeman Mbowe kumtembelea Hadi tukio la leo hii kutolewa Keko Kwa msafara maalumu.
Ukweli kutoka chanzo chĆ” ndani kabisa ni kwamba Mh. Tundu Lissu ni Kweli alitolewa Keko majira kati ya saa 5:38 aSbh Hadi saa 6:10 kwa order toka Juu na kupelekwa sehemu kwajili ya negotiation na viongozi kadhaa wakuu katika nchi juu ya REFORMS NA UCHAGUZI MKUU KUIRUDISHA CHADEMA ULINGONI. Mazungumzo ya leo yamekuja baada ya mazungumzo ya awali na mwenyekiti aliyepita ambaye alikuwa Messenger wa Kile ambacho kilitarajiwa kuzungumzwa leo na MSIMAMO WA TUNDU LISSU umebaki Ule Ule kuwa NO REFORMS NO ELECTION AND BETTER TO DIE.... OVER MY DEAD BODY I WON'T COMPROMISE MY STATUS.
Taarifa toka ndani zinaeleza kuwa kikao cha leo kilihuzuliwa na viongozi kadhaa wa kidini wenye nguvu ya ushawishi Lakini Bado msimamo wa Lissu ni Ule Ule.
Kuna pressure kubwa sana kutoka upande wa gavoo na tutarajie Kuona kauli za mawaziri na viongozi wa CHAMA kuendelea kuitetea serikali Kwa kisingizio cha MUDA WA REFORMS HAUPO ILA TUNA AHIDI UCHAGUZI HURU KWELI KWELI
Mh. Tundu Lissu Yupo sehemu salama na atarudishwa Keko Kwajili ya kupanda kizimbani Tarehe 24. Japo Pia Kuna uwezekano wa kuhamishiwa Ukonga. Kitu pekee chakumfanya ni watanzania waendelee kuomba Wale chawa wasije Fanya Sifa kinyume na maagizo ya Mh. Rais na wakamdhuru. MWENYE NCHI HANA AJENDA YA KUMTENDEA UBAYA TUNDU LISSU JAPO VIBARAKA NDIO WANAOSHINIKIZA SANA ILA KAULI YA MWENYE NCHI NI HAPANA.
View attachment 3308605
Hao tissue wana report kwa nani Hadi wampe Lissu ufalme?Nilichoongea Jana hatimaye KIMETIMIA.... LISSU YUPO UKONGA KWASASA... TISS WANAMPA MAXIMU SECURITY KITU AMBACHO UPANDE WA PILI HAWAKIPENDI... IN SHORT ANAISHI KAMA MFALME NA NI FULL STORY NA WATU WA USALAMA MUDA WOTE
JPM aliamrisha Tundu apigwe risasi wakati anahudhuria bunge. JPM alimuua Ben Saanane kwa bastola yake mwenyewe baada ya Ben kushikikia msimamo kuwa PhD ya Magu ni FEKI"MWENYE NCHI HANA AJENDA YA KUMTENDEA UBAYA TUNDU LISSU JAPO VIBARAKA NDIO WANAOSHINIKIZA SANA ILA KAULI YA MWENYE NCHI NI HAPANA."
Nanukuu maneno yako mleta Mada! JPM apumzike kwa Amani, alisingizwa mengi sana!