Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 4,929
- 7,927
Uchaguzi kama ule uliosimamiwa na Mchengerwa mwaka jana ni aibu, fedheha na umechefua watu mnoo. Uovu ule haufai kurudiwa tenaTaarifa toka ndani zinaeleza kuwa kikao cha leo kilihuzuliwa na viongozi kadhaa wa kidini wenye nguvu ya ushawishi Lakini Bado msimamo wa Lissu ni Ule Ule.
among visionary arguments,"MWENYE NCHI HANA AJENDA YA KUMTENDEA UBAYA TUNDU LISSU JAPO VIBARAKA NDIO WANAOSHINIKIZA SANA ILA KAULI YA MWENYE NCHI NI HAPANA."
Nanukuu maneno yako mleta Mada! JPM apumzike kwa Amani, alisingizwa mengi sana!
I love haters very much my lady, ohh my God,I hate youππ₯΄
Tafuta dodoki na Jiki ila huyo mtu wako hakusingiziwa"MWENYE NCHI HANA AJENDA YA KUMTENDEA UBAYA TUNDU LISSU JAPO VIBARAKA NDIO WANAOSHINIKIZA SANA ILA KAULI YA MWENYE NCHI NI HAPANA."
Nanukuu maneno yako mleta Mada! JPM apumzike kwa Amani, alisingizwa mengi sana!
Unabii Bwana Mungu wa Mbinguni atautimiza. AminaNo reform no election,kwa Lissu hakuanaga kulegeza,Huyu ndiye MTU tuliyemsubiri muda mrefu kwa ajili ya ukombozi kutoka CCM
Yaani Msimamizi wa NEC ni aliyekuwa mjumbe wa CCM NEC.Ktk mazingira ambayo kula zinapigwa then wasimamiz ni wateule wa rais ni waz kuwa hapo hakuna demokrasia isipokuwa wao ndio wataamua upewe nafas ngap za ushindi ili kufanikisha kichaka chao cha demokrasia
Lisu ana hoja na nyuma yake kuna watu wengi wana msapoti anza na mm
June 30 hiyo gentleman πͺπYah hiyo ni point ya msingi
Nakusubiri dodoma kwenye kuchukua form za ubunge
Halafu bado anatokea mjinga mmoja anasema chama chake kilishinda bila kupigwa nonsense kbs nyau hawaYaani Msimamizi wa NEC ni aliyekuwa mjumbe wa CCM NEC.
DED ni aliyekuwa mgombea wa ccm na DC ni Mwanakamati ya siasa ya ccm harafu hao ndio wanasambaza box za kura, kuzihesabu na kutangaza.
Kuna msemo usemao, 'KIZURI CHAJIUZA ila KIBAYA CHAJITEMBEZA'...kazi kwako.Serikali ya CCM imefanya makubwa na tumeona kwa macho kupitia mabango ya kila halmashauri na tumesikia kwa masikio kwenye kila redio baada ya chambuzi za michezo hutoa airtime kusifia makubwa yaliyofanywa na serikali sikivu ya CCM.
Wananchi wana kila sababu ya kuichagua tena CCM kwa kuipa mitano tena. Wakubali tu kufanya reforms za uchaguzi kwa kutuwekea tume huru na kutupatia katiba mpya yenye kuwajibisha mafisadi yanayotajwa na CAG.
CCM fanyeni uzalendo huo. Nina imani na Chama Cha Mapinduzi.
Soma in-between lines utaelewa nilichokiandika mkuu.Kuna msemo usemao, 'KIZURI CHAJIUZA ila KIBAYA CHAJITEMBEZA'...kazi kwako.
June 30 hiyo gentleman πͺπ
Nimekuelewa sana chief.Soma in-between lines utaelewa nilichokiandika mkuu.
π π πHalafu bado anatokea mjinga mmoja anasema chama chake kilishinda bila kupigwa nonsense kbs nyau hawa
Tudokeze na wewe mkuu. Ukweli ukoje?????Wote mko wrong
Uhalisia hauko hivyo