Tegemea hili kutokea juu ya Tundu Lissu hivi punde

Comment hii ipigwe lamination.

Tumwombee Lissu,yupo hatarini,

Bt Hatutaogopa Tena.
 
Ujinga. Nchi inaongozwa na chawa au Rais? So kama Chawa wana nguvu basi ni shida sana.
 


"MWENYE NCHI HANA AJENDA YA KUMTENDEA UBAYA TUNDU LISSU JAPO VIBARAKA NDIO WANAOSHINIKIZA SANA ILA KAULI YA MWENYE NCHI NI HAPANA"
 
Kauli ya Ijumaa Kuu Matesonya Yesu Kristu.

Nanukuu.
" Kama nimesema Uongo toa ushahidi huo wa uongo. Na kama nimesema kweli kwanini wanihukumu".

Watawqla Tafakarini haya yanayojiri.

Tunatarajia ujumbe mahususi wa TEC na Kanisa Katoliki hii Pasaka ya ufufuko wa Yesu Kristu.
 
Mwenye nchi ni mwananchi
 
Ni kweli,

Amepewa kesi hiyo kwa maelekezo ya huyo wanayedai hana Nia mbaya.
Kabisa, na Mbowe juzi alienda kumpa ujumbe wa system, lakini Lisu aligoma na akasema yuko tayari kunyongwa hadi kufa. Ifahamike Mbowe amekuwa akikubali haya matakwa ya system, kisha akawa anatoka na taswira ya kuwa ni mtu mwenye busara, lakini alikuwa anachota mpunga.
 
Mungu mwema
 
 

Attachments

  • Screenshot_20241225-215807.jpg
    186.5 KB · Views: 22
Mi najiuliza kwa kanuni za INEC kuwa Chadema imezuliwa kushiriki uchaguzi,nikajiuliza kwa tafsiri tu Chadema ni members na wakereketwa kwa hiyo kwa tafsiri ya tume hao wote wamezuiliwa kushiriki uchaguzi tufanye chadema ni 25% ya wapiga kura wote.25% yote inakuwa imeondoka,chukulia wale wanaosema sina muda wa kwenda kupiga ni 10% ya wapiga kura wote,haya ambao hawajiandikishi labda 5% ya wapiga kura wote.Je tunataka turnout ya uchaguzi iweje? Au ilimradi tupite tushike dollar huku watanzania wakiwa nje.Kuna tofauti ya chama kujiondoa na kuondolewa.Kwenye kuondolewa kuna sympathy na kwenye kujiondoa kuna aggressiveness ya hata member wa chama.We need to rethink of our decision kanuni zimekiuka sheria mama,katiba na public interest.
 
Andiko lako hili impression yake ni kuwa njia iliyotumika kumteka Mbowe, akatoka gerezani na kuibukia ikulu ndiyo inataka kutumika kwa Tundu Lissu pia, au siyo bwana..?

Kwamba Tundu Lissu ajikane mwenyewe, akane misimamo yake na auze utu wake ili kuwapa ajenda CCM na serikali yao dhidi yake binafsi na chama anachokiongoza, CHADEMA...?

NO WAY, I DON'T SEE ANYTHING LIKE THIS.......!!

Sioni hili likitokea kwa Tundu Lissu huyu tunayemjua ambaye alisha wa-prove wengi wrong kwamba "HE IS A PERSON OF INTERGRITY..."

Narudia tena kusema, wanajichosha tu kwa Tundu Lissu...

Kama CCM na serikali yao wako seroius na wana ile iitwayo kisiasa kama "political will" kwa amani na utulivu wa taifa letu na wanataka twende mbele wote kwa pamoja tukiwa wamoja kama taifa, basi they have to do the needful na kwamba MEZA YA WAZI NA GENUINE YA MAZUNGUMZO ILI KURIDHIANA KAMA TAIFA haipekukiki...!

Ujanja ujanja na manipulation za kipuuzi za CCM na serikali yao hazina nafasi katika generation hii. TUBADILIKE....!!

Huyu jamaa (Tundu Lissu) ni mtu wa haki na ni mtu anayependa kufanya mambo kwa uwazi...

Hawezi kufanya negotiation in the "closed doors" kwa ishu ambayo iko wazi na inapaswa kutolewa maamuzi in public kila mtu akisikia na kuona...

Asante Tundu Lissu. Naona mwanga wa uhuru na ukombozi mbele...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…