Tegeta, Dar: Maafisa wa TRA washambuliwa na wananchi kwa mawe

Watauawa sana hawa makima
 
Ogopa sana mtu mpole au tuseme muoga kwani siku uvumilivu ukimshinda anakuwaga kama mbogo aliyejeruhiwa. So its a matter of time tu kuna siku madhalimu hawata amini kwamba hawa tuwaonao ni walewale au tunaota 😎
 
Hongereni Sana sana Wana Tegeta, mmewawakilisha wana Daleisalama vyema. MUNGU awabariki sana
 
Taratibuu taribu tu mwanga utaanza kuchomoza Kwenye giza...
Kama police CCM wameshindwa kuondoa huu uhuni wakutekana na kuuwa watu ,bac wananchi wacha wafanye kazi Yao ,polisi CCM wakifikaa wao wabebe maiti tu za watekajii .
 
Watekaji hao. Zoezi limefeli.

Wananchi wameanza kuamka. Huu uholela wa ukamataji wa kuvizia ni utekaji.

Wananchi wangemalizana nao kibingwa na gari ingebaki kama ushuhuda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…