Kama mahakama imehukumu kuwa serikali ilipe basi italipa tu.Deni hatutalipa , wafanye wafanyavyo , wananchi fanyeni kazi , deni hilo halikusababishwa na serikali .
Umedhihirisha ulivyo kizibo kwa akili yako unadhani mwenye kubeba hili jukumu la kulipa ni nani? Muda mwingine tumia makalio kwa ajili ya kukaa usiyape kazi isiyostahili..we akili yako finyu huwezi hata kusoma na kuona nani wanatakiwa kurudisha hizo pesa....pamoja na scandal yote kuibuka mwaka jana bado hujui nani wa kulipa...usaidiweje we sasa....
.....sasa hapo JPM ndio ana mtihani...maana waliokwapua zile pesa wanajulikana....wamewalipa PAP na VIP kwa makosa pesa za St. chartered bank (HK)...
.....waanze na BoT walioruhusu hela kutoka..na utaona hiyo bil.320+ ndio kiasi cha pesa za escrow zilizochotwa...hizi hela zilibarikiwa zitoke kuanzia juu ......hapo ndipo JPM ana mtihani....ifike mahali sasa aanze na hili la escrow...aache kushughulika na vidagaa wasio na impact kwenye kukua kwa nchi...
...alafu eti wanalalamika watu wanaficha hela!!...wanaficha hela wakati wamebebeshana hela hizi wao kwenye masandarusi na wanajua walivyozipitisha stanbic.....pesa zile ndio hizi zinazodaiwa....bil.320.....utaona ndio kiasi kile walichokwapua kupitia stanbic na VIP(kwa ruge).....wazirudisheee......tanesco wasilipe kitu bali wakomae na ule mzigo uliolipwa PAP kupitia stanbic na VIP (kupitia mkombozi)...Hilo lilihojiwa sana wakati wa like sakata lakini majibu yalikuwa ya kisiasa majibu halisi ndio haya tulipe zaidi ya shs bn 320 na riba na tozo maumivu makali sana mshahara utaongezwa kweli??
ikate rufaa katika mahakama gani?Hivi yule Mwanasheria mkuu wa Serikali kazi yake kupambana na kila Lisu tu bungeni, dahh serikali ikate Rufaa na mawakili wa chadema walifanyie kazi hili
Watanzania watu wa ajabu sana yaani jitihada za kafulila za kuinusuru serikali na hasara kubwa hv hatukuona tujamnyima ubunge? Kweli ss wanafikiKafulila David, ulichokieleza kilikuwa na thamani zaidi ya hiyo miaka 5 ya ubunge ulioukosa, sasa wengi tunaona na Tanzania ya vizazi vijavyo itakuelewa zaidi ya mbumbumbu sisi tunaoishi sasa!
Wakamtwe PAP na washirika wao walioshiriki kuidhinisha,Mahakamani imesema kabisa PAP walilipwa kimakosa.kwa hiyo hao ni matapeli kweli Tanzania shamba la bibi na wahusika wengine wanaongoza Tanesco,Hizi habari sio nzuri kwa Mhongo jiuzulu broKwahiyo hapo sisi watumiaji ndo imekula kwetu nchi hii ina mambo ya kijinga sana na hili shirika sijui kwanini wanashindwa kulipa mshindani wake kama ilivyo mitandao ya simu mana lingeshajifia siku nyingi huduma mbovu ila maingizo yao makubwa
Watanzania watu wa ajabu sana yaani jitihada za kafulila za kuinusuru serikali na hasara kubwa hv hatukuona tujamnyima ubunge? Kweli ss wanafiki
Mungu mbariki Kafulila .Namuona kafulila km shujaaa kwa nchi yangu japo magumashi yametumika ili mradi tu asirudi bungeni.
Kukopa arusi kulipa matanga! Jamani hili deni lilipwe ili tusahau, maana kama watu wenyewe wameshindwa kuvunja mikataba ya kinyonyaji kama hii unategemea nini? wanasheria wetu ndo kama hao mfano wa akina Werema na Masaju unategemea tutashinda kesi gani sisi? Mwaka huu kuna mtu mpaka ajinyee!!
...kujibishana na idiots kama wewe ni kupoteza muda tu...nyie huwa mnatumw kuvuruga mijadala humu...hivyo i won't waste my time with a foolish mind like yours....Umedhihirisha ulivyo kizibo kwa akili yako unadhani mwenye kubeba hili jukumu la kulipa ni nani? Muda mwingine tumia makalio kwa ajili ya kukaa usiyape kazi isiyostahili