Tego la usinga; uchawi uliotoweka

Tego la usinga; uchawi uliotoweka

Udanganyifu katika mahusiano ni kitu kikongwe na kinachopigwa vita duniani kote watu kwa maelfu wamepoteza maisha kutokana na ishu za Udanganyifu wivu na kufumaniwa au kufumaniana

Kwa wasambaa kulikuwa na tego moja maarufu sana TEGO LA USINGA tego hili ni baya na lenye nguvu sana ambalo lilitegwa kwenye mapaja ya mwanamke kwa kujulishwa au kwa kutojulishwa

Test yake kama tego linafanya kazi mwanamke angewekewa kipande cha chuma au kisu au panga na kuambiwa akiruke, ambapo kitu hicho kingekatika vipande viwili , kwahiyo hapa mwanamke hana ujanja na anajua fika kinachoendelea

Kwa wale wanawake ambao hawajulishwi ila wana mashaka basi huchukua panga au kitu chochote cha chuma na kukiruka!kikikatika tu anajua hali halisi anatulia. Bahati mbaya sana kuna baadhi ya wanaume huwa hawawaambii wake zao kile walichokifanya na wanawake nao wengine huwa hawana machale na hivyo kusababisha maafa.

Mwanamke mwenye tego la usinga akiingiliwa na mwanaume mwingine yule mwanaume hupigwa na kitu kama shoti na baada ya hapo huanza kuumwa tumbo ambapo hawezi kumaliza masaa sita hufariki huku uume ukiwa umesimama ndii

Usinga si kitu chema kwakuwa hauna dawa na mwanamke hatakiwi kuwa na mtoto mdogo wa kiume ambaye atambeba mara kwa mara
Huu ndio usinga tego baya kabisa enzi hizo usambaani...!

Bahati mbaya wataalam wake wamekufa na ujuzi huo bila kuurithisha kwa yeyote
Hata wangekuwepo wao wangekuwa waathirika wa kwanza. Uchawi kama ningeweza ningeuzamisha chini ya chini kabisa ya bahari usionekane tena. Atakayeufuata akae huko huko
 
Kule Mtwara ukifumwa na mke wa mtu jamaa anakuomba nguo ya ndani tu alafu anakwambia we nenda tu.Huu uchawi gani Cc mshana jr
 
Na hapa ndio linapokuja tatizo linalofanya kusiwe na ndoa siku hizi. Wanawake wanataka kulingana na wanaume kwa kila kitu. Kuna siku tutatakiwa tusaidie kubeba mimba. Lakini mbona hamuombi haki ya kuolewa na wanaume wawili?
Hiyo kitu wameomba kupitia kwa mwandishi Theobald mvungi,,, """ktabu cha mashair ya chungu tamu "
 
Udanganyifu katika mahusiano ni kitu kikongwe na kinachopigwa vita duniani kote watu kwa maelfu wamepoteza maisha kutokana na ishu za Udanganyifu wivu na kufumaniwa au kufumaniana

Kwa wasambaa kulikuwa na tego moja maarufu sana TEGO LA USINGA tego hili ni baya na lenye nguvu sana ambalo lilitegwa kwenye mapaja ya mwanamke kwa kujulishwa au kwa kutojulishwa

Test yake kama tego linafanya kazi mwanamke angewekewa kipande cha chuma au kisu au panga na kuambiwa akiruke, ambapo kitu hicho kingekatika vipande viwili , kwahiyo hapa mwanamke hana ujanja na anajua fika kinachoendelea

Kwa wale wanawake ambao hawajulishwi ila wana mashaka basi huchukua panga au kitu chochote cha chuma na kukiruka!kikikatika tu anajua hali halisi anatulia. Bahati mbaya sana kuna baadhi ya wanaume huwa hawawaambii wake zao kile walichokifanya na wanawake nao wengine huwa hawana machale na hivyo kusababisha maafa.

Mwanamke mwenye tego la usinga akiingiliwa na mwanaume mwingine yule mwanaume hupigwa na kitu kama shoti na baada ya hapo huanza kuumwa tumbo ambapo hawezi kumaliza masaa sita hufariki huku uume ukiwa umesimama ndii

Usinga si kitu chema kwakuwa hauna dawa na mwanamke hatakiwi kuwa na mtoto mdogo wa kiume ambaye atambeba mara kwa mara
Huu ndio usinga tego baya kabisa enzi hizo usambaani...!

Bahati mbaya wataalam wake wamekufa na ujuzi huo bila kuurithisha kwa yeyote
Mimi nina ujuwa mtego wa kumfunga mwanamke akichepuka yule mwanamme anaye chepuka nae uume wake unakufa hauwezi kuingia ndani ya Papuchi. Na mtego mwengine mke akichepuka na Mwanamme basi yule mwanamme anakufa lakini sifanyi kabisa ni dhambi kwa Mungu. Na vifungo vingi vya kuwafunga wake zetu wasiweze kuchepuka pasipo na madhara ninavijuwa. Kumuinamisha mke kwa mume au mume malaya kumtuliza awe kama kondoo kwa mke wake vyote hivyo ninavijuwa.
 
Hata wangekuwepo wao wangekuwa waathirika wa kwanza. Uchawi kama ningeweza ningeuzamisha chini ya chini kabisa ya bahari usionekane tena. Atakayeufuata akae huko huko
Kingetokea kingine kibaya zaidi
 
Mimi nina ujuwa mtego wa kumfunga mwanamke akichepuka yule mwanamme anaye chepuka nae uume wake unakufa hauwezi kuingia ndani ya Papuchi. Na mtego mwengine mke akichepuka na Mwanamme basi yule mwanamme anakufa lakini sifanyi kabisa ni dhambi kwa Mungu. Na vifungo vingi vya kuwafunga wake zetu wasiweze kuchepuka pasipo na madhara ninavijuwa. Kumuinamisha mke kwa mume au mume malaya kumtuliza awe kama kondoo kwa mke wake vyote hivyo ninavijuwa.
Mmmmh hii kali
 
Wanaume tuko waoga sana kugededewa sijui wanawake wao hawana hofu ya watu wao kugegeda kwingine,je wanawake walikuwa hawawategi watu wao
Mkuu; Wanawake inasemekana ni hatari sana kwa LIMBWATA. We mwanaume utazunguka-zunguka hapo home hutoki kwenda kwingine unamuona yeye tu!
 
Back
Top Bottom