King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hiyo nilishajaribu mkuu bt cheche.Ila nimejaribu 570 imeleta channel 13 atn1,atn2 zinatoa saut picha hakuna,channel 10 na Eatv zina pcha ila saut mara ije mara ikate zlizobak zote hazionyesh wala kusikika kitu.
ok then test hii hapa kupata chanel 12 za ziada nenda kwenye menu kisha shuka mpaka chini kwenye itemu ya 4 bonyeza ok kisha bonyeza mshale wa kushoto bonyeza ok kwenye manual kisha andika 530 bonyeza ok itasearch chanel ikimaliza close rudi mwanzo utaona chanel zimeongezeka, LETE MAJIBU
Bora 2013 ifike tule free channel haya mambo ya 570 tumejaribu hakuna sauti kabisa
Hili jukwaa nalipenda sana maana lina watu wabunifu sana na wanaojituma kusaka taarifa haraka, nina decoda ya startimes nimechakachua chanel lkn DTV na C2C sizipati kabisa ila nimepata ITV, star TV, channel ten, EATV na zingine nyingi km Emmanuel Tv nk. mwenye kujua namna ya kupata DTV na C2C anisaidie.

Mkuu tafadhali ni Pm nami niweze pata hizo chanel!Maana mimi sizipati hata hizo.Lakini tunaendelea nautafiti nikifanikisha tu c2c na Dtv,nakujulisha mkuu!
Ufisadi sio lazima uibe mabilioni...hata kutaka kuchakachua startimes ili upate ITV,EATV n.k ni mojawapo ya ufisadi!
Hili jukwaa nalipenda sana maana lina watu wabunifu sana na wanaojituma kusaka taarifa haraka, nina decoda ya startimes nimechakachua chanel lkn DTV na C2C sizipati kabisa ila nimepata ITV, star TV, channel ten, EATV na zingine nyingi km Emmanuel Tv nk. mwenye kujua namna ya kupata DTV na C2C anisaidie.
Wakuu kuna leakage kwa moja wa unofficial provider wa service za DVB-T.
Hii ni kwa Dar ONLY
Frequency units ni:-
650 kuna channel 8;
682 kuna channel 7;
714 kuna channel 7;
746 kuna channel 6;
778 kuna channel 7.
DTV, C2C na CTN zina leseni ya jiji ya kutoa matangazo kupitia kivuli cha Africa Media - channel TEN.
Hakuna jipya.