Nilikipotezea kwa mwezi hivi
nilivyosikia ITV,STARTV,EATV
nilikuwa impressed sana
nikaenda kununua Kifurushi
nikaprocess nikapata chanell tajwa
cha ajabu jana siku tatu tangu nimeanza kuwatch zikaanza kusoma signal weak no picture leo nikamua kusearch kwa kutumia auto tena
cha kushangaza zimeondoka mpya zoote local station pamoja na etv
msaada jamani nifanyeje ?