Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,218
Alafu mbona channel za kichina nyingi sana? Au wamiliki ni wachina? Au ndo maendeleo ambayo china imeahidi kuleta africa kwa hiyo kwetu haya ndo matunda ya kichina kuwa na kifurushi chenye channel nyingi za kichina?
"chanels may change without notice"
Nilikipotezea kwa mwezi hivi
nilivyosikia ITV,STARTV,EATV
nilikuwa impressed sana
nikaenda kununua Kifurushi
nikaprocess nikapata chanell tajwa
cha ajabu jana siku tatu tangu nimeanza kuwatch zikaanza kusoma signal weak no picture leo nikamua kusearch kwa kutumia auto tena
cha kushangaza zimeondoka mpya zoote local station pamoja na etv
msaada jamani nifanyeje ?
wakuu mimi naishi Mwanga Mkoani Kilimanjaro, baada ya kusoma uzi uliokuwa ukihusisha ving'amuzi vya Zuku na Startimes, nilishawishika kununua Startimes...
Tatizo nililonalo ni kwamba nimeshundwa kupata channel hata moja licha ya kuweka antena yao nje, nimewapigia wakadai niweke uelekeo walioniambia pia niakikishe kuwa taa ya kijani inawaka.
Swali langu...
hivi kupata signals na taa ya kijani kuna uhusiano? Kama hakuna uhusiano basi shida yaweza kuwa nini? Ni antena au?
Naombeni msaada wenu, nami ni-enjoy ulimwengu wa digitali
simple taa ya kijani ikiwaka inamaana signal imekamata, me pia natumia startymz na natumia antena ya nje ila hapo inabidi utumie antena ya nje na ww coz inaelekea unakaa mbali na ilipo mitambo yao so antena chao cha ndani haiwezi kudaka, yaan chomoa ile antena yao then pale pa kuchomeka antena ndo uchomeke antena ya nje , geuza geuza antena mpk utakapoona taa ya kijani imewaka ndo ujue hapo stations zitapatikana,
sawa mkuu, natumia antena ya nje...toka asubuhi nimeangaika nayo, ngoja nijaribu tena
Startimes wanaboa sana, since juzi channel kadhaa hazikamati ikiwemo
E-stars, Real stars pamoja na BET hazikamati.
Huu ni wizi wa kuaminika.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Startimes wanaboa sana, since juzi channel kadhaa hazikamati ikiwemo
E-stars, Real stars pamoja na BET hazikamati.
Huu ni wizi wa kuaminika.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums