Teknolojia ya Digitali ya Startimes na Ting: Kero za watumiaji

Teknolojia ya Digitali ya Startimes na Ting: Kero za watumiaji

Alafu mbona channel za kichina nyingi sana? Au wamiliki ni wachina? Au ndo maendeleo ambayo china imeahidi kuleta africa kwa hiyo kwetu haya ndo matunda ya kichina kuwa na kifurushi chenye channel nyingi za kichina?

haaaaa haaaaaa

wanazidi kujitangaza kimataifa
 
Nilikipotezea kwa mwezi hivi
nilivyosikia ITV,STARTV,EATV
nilikuwa impressed sana
nikaenda kununua Kifurushi
nikaprocess nikapata chanell tajwa
cha ajabu jana siku tatu tangu nimeanza kuwatch zikaanza kusoma signal weak no picture leo nikamua kusearch kwa kutumia auto tena
cha kushangaza zimeondoka mpya zoote local station pamoja na etv

msaada jamani nifanyeje ?

Startimes ni kimweo na wezi wakubwa sana. Wakikuambia ni kifurushi cha mwezi sana sana utapata two weeks tu. Kuna rafiki yangu anawategeshea anataka kuwafungulia kesi. Anakusnya details tu then subirini. Pia ni lazima kwa maeneo mengine uweke tena anterna hivyo not relaible kabisa. Achana na Startimes, go for TING au kingine kabisa. After all the shareholders are TBC and Chinese, what do you expect, quality and reliability or what? nothing!!
 
hivi quality ya hiz chanel walizo amua kutuwekea ni mbayaaaaa? Au ni tv yangu.
Walio fanikiwa kutumia ting na startimes tuambieni mnaonaje mkilinganisha quality ya picha na sauti ya hivi ving'amuzi
 
hawa wachina ni wezi wa waziwazi.mnatoa matangazo mtaonyesha champion league cha kushangaza hio DTV hawana lolote sioni hata umuhimu wa kua na hili liking'amuzi tena ni usenge agggh
 
Pole sana, matangazo ya Tanzania wanachosema sio wanachomaanisha, bado ORAL TRADITIONAL ipo applicable (kuulizia wadau wengine wanasemaje kuhusu huduma hiyo kabla ya kutangaza nia ya kununua)
 
ni uefa,nmeandika kwa hasira hawa wachina mbwa kweli
 
Habari wakuu,
Naomba msaada jinsi ya kuongeza stations katika startimes. Nimejaribu kusearch uzi wa zamani bila mafanikio. Tafadhar nahitaji msaada wenu.

Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
 
wakuu mimi naishi Mwanga Mkoani Kilimanjaro, baada ya kusoma uzi uliokuwa ukihusisha ving'amuzi vya Zuku na Startimes, nilishawishika kununua Startimes...
Tatizo nililonalo ni kwamba nimeshundwa kupata channel hata moja licha ya kuweka antena yao nje, nimewapigia wakadai niweke uelekeo walioniambia pia niakikishe kuwa taa ya kijani inawaka.

Swali langu...
hivi kupata signals na taa ya kijani kuna uhusiano? Kama hakuna uhusiano basi shida yaweza kuwa nini? Ni antena au?

Naombeni msaada wenu, nami ni-enjoy ulimwengu wa digitali
 
Mpwa sio wewe tu watu wameshalalamika sana, hebu subirituone hapo desemba itakuaje tutakapofungiwa hizi local channels kwene king'amuzi
 
wakuu mimi naishi Mwanga Mkoani Kilimanjaro, baada ya kusoma uzi uliokuwa ukihusisha ving'amuzi vya Zuku na Startimes, nilishawishika kununua Startimes...
Tatizo nililonalo ni kwamba nimeshundwa kupata channel hata moja licha ya kuweka antena yao nje, nimewapigia wakadai niweke uelekeo walioniambia pia niakikishe kuwa taa ya kijani inawaka.

Swali langu...
hivi kupata signals na taa ya kijani kuna uhusiano? Kama hakuna uhusiano basi shida yaweza kuwa nini? Ni antena au?

Naombeni msaada wenu, nami ni-enjoy ulimwengu wa digitali

simple taa ya kijani ikiwaka inamaana signal imekamata, me pia natumia startymz na natumia antena ya nje ila hapo inabidi utumie antena ya nje na ww coz inaelekea unakaa mbali na ilipo mitambo yao so antena chao cha ndani haiwezi kudaka, yaan chomoa ile antena yao then pale pa kuchomeka antena ndo uchomeke antena ya nje , geuza geuza antena mpk utakapoona taa ya kijani imewaka ndo ujue hapo stations zitapatikana,
 
sawa mkuu, natumia antena ya nje...toka asubuhi nimeangaika nayo, ngoja nijaribu tena
 
sawa mkuu, natumia antena ya nje...toka asubuhi nimeangaika nayo, ngoja nijaribu tena

bac endelea kugeuza au kn miti miti bac inaweza kuzuia, au unaweza kwenda ofcn ukawaita wao wenyewe wakakurekebishia ,huwa ni bure tuu tho ukiwaita wanachelewa kuja, me natumia startymz tangu imeanza so nna experience nayo vya kutosha , kn wkt ilikuwa hvyo niliweka antena still inagoma walivyokuja wenyewe kumbe kn mahali nyaya hazigusani so akaunganisha vzr
 
duuuh hayo mateso mm siyawezi na yalinishinda nika amua kutupilia mbali ujinga wao!,maana pesa umelipia bora ingekuwa kama sim.
 
Startimes wanaboa sana, since juzi channel kadhaa hazikamati ikiwemo
E-stars, Real stars pamoja na BET hazikamati.
Huu ni wizi wa kuaminika.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Startimes wanaboa sana, since juzi channel kadhaa hazikamati ikiwemo
E-stars, Real stars pamoja na BET hazikamati.
Huu ni wizi wa kuaminika.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

kumbe ni matatizo matupu? twende wapi sasa?
 
Startimes wanaboa sana, since juzi channel kadhaa hazikamati ikiwemo
E-stars, Real stars pamoja na BET hazikamati.
Huu ni wizi wa kuaminika.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Duh! inaelekea hawa jamaa wanagawa hizi channels kwa wamtakae ni kumbania wamtakae at any given time!!! Binafsi, ulizotaja zote nazipata tena bila shida ingawaje natumia antena ya ndani...lakini hata hivyo; STVC1 na Mlimani wamezisepesha kimya kimya...!!! Lakini kama kuna waliponiboa ni kukatisha ghafla tamthilia iliyokua STVE2.....yaani nasubiri monthly subscription yangu iishe nami naachana nao kabisa....heri nirudie my FTA Dish!
 
Jamani mimi ni mteja wa StarTimes ambaye nimejiunga na kifurushi cha UHURU ambacho tunaambiwa kuwa kinaonesha jumla ya vipindi (Chanels) 47, lakini ukifiatilia ni kama chanel 42 tu zinazoonekana! Kwanini chanel kama KBC, UBC na nyinginezo zilizooneshwa katika kipeperushi hazionekani?
Nawasilisha kwa wahusika tu.
 
Back
Top Bottom