Teknolojia ya Digitali ya Startimes na Ting: Kero za watumiaji

Teknolojia ya Digitali ya Startimes na Ting: Kero za watumiaji

Jamani mimi ni mteja wa StarTimes ambaye nimejiunga na kifurushi cha UHURU ambacho tunaambiwa kuwa kinaonesha jumla ya vipindi (Chanels) 47, lakini ukifiatilia ni kama chanel 42 tu zinazoonekana! Kwanini chanel kama KBC, UBC na nyinginezo zilizooneshwa katika kipeperushi hazionekani?
Nawasilisha kwa wahusika tu.

mimi nilikinunua kipindi cha kombe la dunia, baada ya hapo nikakifungia sandukuni. now nakula kitu cha Easy TV: ITV, Channel 10, Star TV, UBC, Citizen, TBCCM zote ndani.
 
Chezeiya mchina wewe washawaweka tbc mfukoni hata mfanye nini tcra wamelala......
 
Startimes ni wezi wakubwa.
Kila siku channel zinapungua tu.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nimelipia channel zote lkn wkt fulani inaonesha kuwa not subcribed tena karibu station zote. baada ya muda inaonesha zote. Etv ndo kabisa haipo tena. Mimi siwaelewi hawa watu. ikifiaka tarehe wao wanajua kukata bila kufidia siku anbazo hawakuwa hewani. Tanzania kila kitu chawezekana.
 
nunua kingamuz cha Ridhiwan Tv..... kinaonesha tanzania na oman tu..

V
SENGEREMA
 
I see me mwenyewe nimailipia 36000 kwa mwezi bt utumbo mtupu halyanani tena najuuta kuiweka hii startimes
 
mimi nilikinunua kipindi cha kombe la dunia, baada ya hapo nikakifungia sandukuni. now nakula kitu cha Easy TV: ITV, Channel 10, Star TV, UBC, Citizen, TBCCM zote ndani.

NG'WANANGWA, Hapo kwenye RED kinauzwa bei gani na ni nani wakala?
 
mimi nilikinunua kipindi cha kombe la dunia, baada ya hapo nikakifungia sandukuni. now nakula kitu cha Easy TV: ITV, Channel 10, Star TV, UBC, Citizen, TBCCM zote ndani.

amesahau na setanta .etv.msnbc nacho kilipotea kimerudishwa juzi .hawa wachina wezi .
 
Hawa jamaa ni wezi tu. Tuliambiwa vipindi vinavyorushwa bure vitaendelea kuwa bure lakini hawa wachina wanatoza channel ten, Dtv ... Na tcra wapo likizo!
 
WanaJF mambo vp?

Nina maswali machache kidogo yananitatiza kutokana na hii teknolojia ya hivi vingamuzi.

Hivi Dstv wao wanatumia teknolojia gani ya digtali au analogia? Kama wanatumia digitali kwa nini hawa startimes na ting na wao wasitumie njia hiyo ili mtu yeyote aliye ndani ya nchi hii apokee mifumo yao kwa njia ya satellite, badala ya mifumo yao hiyo ya kutumia transmita na ndio maana mtakubaliana nami kuna baadhi ya maeneo ya hapa dar picha zao zinakatikakatika. Kwani hizo transimita zao zinarusha mawimbi kwa umbali gani?

Tuingie kwenye teknolojia fulani inayoendana na jiografia ya nchi yetu. Nionavyo mimi wangejipanga wawe wanarusha matangazo yao kupitia kwenye satellite kwa mfano nyuzi 68 mashariki ambapo kama utakuwa unataka MY TV, au STARTIMES au TING utumie dish hilo moja kwa kuchagua mojawapo kati ya hizi sio kuleta teknolojia inayosambaa kwa kufuata miji mikubwa kwani waishio kwenye wilaya wao hawastahili?

Jamani hivyo ndivyo nionavyo mimi wewe unasemaje?

Mkuu hawa jamaa ni matapeli tu. Sijui kama na matatizo ya mkataba wao kama yalipatiwa ufumbuzi. Kwani waliingia mkataba kifisadi
 
Wadau, nimelipia startimes kifurushi cha mwezi, ni wiki mbili tu sasa zimepita na hizo channel za kulipia hazionekani tena. Napata local chnls tu... Mwenye ujanja wa jinsi kuzi-retrieve hzo channels anijuze, au nisaidiwe kupata namba za simu za hawa wahusika. Asanteni
 
Tumia namba hii: 0764700800. Lakini kabla hujawapigia jaribu kurekebisha antenna uone kama zitaonyesha.
 
Back
Top Bottom