Telaviv imeanza kuwa Gaza Taratibu

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Jamaa wamerusha makombora ya ballistic cheki jengo refu lilivyoharibiwa vibaya

Telaviv imeanza kuwa Gaza Taratibu wakuu hii sio poa wanangu taifa teule linasagiwa kunguni kiasi hiki[emoji1313]

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Hii vita tangu mwanzo ilitoa uwelekeo kuwa Hezbullah walitakiwa mahesabu makali kama yale ya mwanzo Israel ilitakiwa kudili na viongozi tu wa Hezbullah sio raia sio majengo lkn Netanyahu anataka Beirut iwe Gaza apo ndio anaenda wapa Haki Hezbullah kuivuruga Telaviv na miji mingine na ilo ndio lisababisa Israel atoe mlio na kukimbilia UN
 
Kwa hivyo vibomu ambavyo haviwezi angusha hata Ghorofa la kko ?
 
Tuliambiwa kuna "iron dome" hakipenyi kitu. Mbona tunaona Hezbollah wakiwanyofoa kidogo kidogo, wameanza Kiritat Shimun, wakaingia vimiji vingine vya mipakani huko, wamehamisha mazayuni wote kwa uoga, wamehamia haifa, sasa wnainyofoa Hiafa na Tel Aviv.

Huu ni ushindi mkubwa, nyau amekuwa panya.
 
Ushindi mkubwa..!

Vipi mkuu, umeshiriki japo kwa kutupa hata jiwe kwa mkono wako..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…