Temba wa TMK wanaume ashushwa jukwaani baada ya kuwaponda Polisi kwenye jukwaa la wasanii wa CCM uwanja wa UHURU

Polisi wa Tanzania katika awamu hii imekuwa organization ya ovyo kuliko hata south african police service ya wakati wa makaburu
Hvi usemalo unakijua mzee. Unajua enzi za makaburu polisi walivyokuwa.??
 
Siro anapata zaidi ya 20,000,000 kabla ya marupurupu
Akifika huo mshahara mm naacha kazi yangu KESHO ASUBUHI. Maana ulinzi utakuwa unalipa sana.... ila ulinzi ndio kazi ya mwisho duniani.
 
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Wewe ni polisi au umeambiwa tu?
 
Aiseeeeeee!!!!
 
Maisha ni namna unavyoamua mwenyewe


Bangi tuvute wache tu hawa form failure walipwe Mil5 ,wakati mimi Baba yangu yuko na Nyota 3 na degree 1 bado home take atupati hata Mil 2 wewe acha uongo , hawa policcm wako hoi kimaisha.
 
Mi nilimpenda msanii lava lava anawaambia raia piga kelele kwa CCM watu wako kimya kama hawamsikii,akaona isiwe tabu kisha akasema "mbona mwaka huu CCM mmechoka sana".nadhani katika watu ambao ataanza kushughulika nao ni huyu bwana mdogo lava lava
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…