sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,280
- 7,930
Mkuu unaongelea polisi wa Tanzania au Nchi Gani?Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home