Temba wa TMK wanaume ashushwa jukwaani baada ya kuwaponda Polisi kwenye jukwaa la wasanii wa CCM uwanja wa UHURU

Watakuja kuongea mbele ya rais siku moja
 
Hiyo ndiyo dawa yao hao wahujumu wa rasilimali
 
Temba kanifurahisha sanaa... Yani ujumbe umepenya mulemulee ...
 
Temba kamaliza kazi iliyo kuwa inatusumbua
 
Wao wanataka waimba mapambio ya kusifu na kumuabudu ,mungu wa ccm, yesu wa ccm ndio wanayopenda kuyasikia.
 
Mimi pia ni police,hivyo nakuambia kile ninachokipokea
Unajua humu kuna bank officers, ambapo mishahara yenu inapitia huko pamoja na kupeleka salary slip zenu mkiwa mnataka mikopo, kuna mangi wenye maduka mtaani kwenu mnapoenda kukopa chakula na kuacha ATM card zenu kama dhamana ya mkopo, ivyo punguza uhongo bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…