Temba wa TMK wanaume ashushwa jukwaani baada ya kuwaponda Polisi kwenye jukwaa la wasanii wa CCM uwanja wa UHURU

Msanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake!

"Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya nyumbani, Polisi nyie ni masikini wenzetu tu hivyo mnapaswa kutulinda na siyo kutuwinda"

Kilichofuatia kazimiwa mic na camera zikaelekezwa kwingine. Baadaye naona wanarudi na TID.

Watu wanatema nyongo live!
watu wana acid nyingi,pakutemea pamezibwa,Sasa wakipata upenyo wana fyatuka tuu[emoji41]
 
mfano mtu anachukua take home 450,000 zidisha mara 12 upate 5,400,000 kwa mwaka, sasa iyo hela round off to millions ni 5M
Hiyo 450,000 haiwezi kuwa mshahara wa police wa Tanzania mkuu,450,000 ni pesa ya kula kwa wiki moja tu,Sasa hizo wiki zingine tuna kula nini na nguvu ya kwenda kuhangaika na Chadema na wote wanaoipinga serikali tungeitoa wapi?
 
Mkuu usiwachukulie poa,hiyo ni style tu ya maisha walioyochagua Ila wanapiga mpunga mrefu,ndo maana wapo tayari kuua ili kuitetea ccm inayowapa mshahara
Hakuna kitu Kama hicho

Polisi wote wa vyeo vya chini maisha Yao duni tunaishi nao kitaa tunawaona pale kitaa kwetu huwa tunawaita "wafugabata"

Maana kila afande kwake lazima afuge bata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi napiga 5M na bata nimefuga, Kama unadhani kufuga bata ndo indicator ya mshahara mdogo I am so sorry for you
 
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Pimbi katika ubora wako
 
Msanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake!

"Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya nyumbani, Polisi nyie ni masikini wenzetu tu hivyo mnapaswa kutulinda na siyo kutuwinda"

Kilichofuatia kazimiwa mic na camera zikaelekezwa kwingine. Baadaye naona wanarudi na TID.

Watu wanatema nyongo live!
Mbona wajenzi wa mnara wa babeli wameanaza kufarakana mapema hivi ???

Au ndiyo maandiko yanalekea kutimia??
 
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
acha unafiki, labda hongo (rushwa)
 
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Iyo ni kwa mwaka au miezi 24
 
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Siyo kwamba uko ndotoni kweli???
 
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Endelea kuwafariji 5m wangekua wanakaa kwenye vile vijumba vyao vile
 
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Una maanisha jumla mwaka mzima au?
 
Msanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake!

"Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya nyumbani, Polisi nyie ni masikini wenzetu tu hivyo mnapaswa kutulinda na siyo kutuwinda"

Kilichofuatia kazimiwa mic na camera zikaelekezwa kwingine. Baadaye naona wanarudi na TID.

Watu wanatema nyongo live!
Mbona wale vichwa maji siwaoni wakitupia post hapa?
 
Back
Top Bottom