Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Milioni tano labda kama wako south Africa. Kwa hapa hapa toa 0 mojaAcha kudanganya watu polisi tunaishi nao huku mtaani hawafanana na huo mshahara wa milion 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Milioni tano labda kama wako south Africa. Kwa hapa hapa toa 0 mojaAcha kudanganya watu polisi tunaishi nao huku mtaani hawafanana na huo mshahara wa milion 5
Uone AIBU kutetea uwongo uliotunga.Nionee aibu mshahara wangu au?
watu wana acid nyingi,pakutemea pamezibwa,Sasa wakipata upenyo wana fyatuka tuu[emoji41]Msanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake!
"Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya nyumbani, Polisi nyie ni masikini wenzetu tu hivyo mnapaswa kutulinda na siyo kutuwinda"
Kilichofuatia kazimiwa mic na camera zikaelekezwa kwingine. Baadaye naona wanarudi na TID.
Watu wanatema nyongo live!
Hiyo 450,000 haiwezi kuwa mshahara wa police wa Tanzania mkuu,450,000 ni pesa ya kula kwa wiki moja tu,Sasa hizo wiki zingine tuna kula nini na nguvu ya kwenda kuhangaika na Chadema na wote wanaoipinga serikali tungeitoa wapi?mfano mtu anachukua take home 450,000 zidisha mara 12 upate 5,400,000 kwa mwaka, sasa iyo hela round off to millions ni 5M
Pole yakoUone AIBU kutetea uwongo uliotunga.
Hakuna kitu Kama hichoMkuu usiwachukulie poa,hiyo ni style tu ya maisha walioyochagua Ila wanapiga mpunga mrefu,ndo maana wapo tayari kuua ili kuitetea ccm inayowapa mshahara
Mimi napiga 5M na bata nimefuga, Kama unadhani kufuga bata ndo indicator ya mshahara mdogo I am so sorry for youHakuna kitu Kama hicho
Polisi wote wa vyeo vya chini maisha Yao duni tunaishi nao kitaa tunawaona pale kitaa kwetu huwa tunawaita "wafugabata"
Maana kila afande kwake lazima afuge bata
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ndio maana unaandika upupu!Mimi pia ni police,hivyo nakuambia kile ninachokipokea
Pimbi katika ubora wakoPolice wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Inawezekana milioni 5 za ZimbabweAcha kudanganya watu polisi tunaishi nao huku mtaani hawafanana na huo mshahara wa milion 5
It's an ironyWewe ni kilaz.a kweli hawa wanaokapakopa Laki moja moja kila katikati ya mwezi mtaani.
Na kuja kutoa elfu 20 ya Rushwa kwenye mpesa zetu?...
Mbona wajenzi wa mnara wa babeli wameanaza kufarakana mapema hivi ???Msanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake!
"Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya nyumbani, Polisi nyie ni masikini wenzetu tu hivyo mnapaswa kutulinda na siyo kutuwinda"
Kilichofuatia kazimiwa mic na camera zikaelekezwa kwingine. Baadaye naona wanarudi na TID.
Watu wanatema nyongo live!
acha unafiki, labda hongo (rushwa)Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Toka lini?Ila msisahau Mh. Temba ni poti na poti anaona polisi kama raia mkakamavu tu
Iyo ni kwa mwaka au miezi 24Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Siyo kwamba uko ndotoni kweli???Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Endelea kuwafariji 5m wangekua wanakaa kwenye vile vijumba vyao vilePolice wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Una maanisha jumla mwaka mzima au?Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Mbona wale vichwa maji siwaoni wakitupia post hapa?Msanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake!
"Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya nyumbani, Polisi nyie ni masikini wenzetu tu hivyo mnapaswa kutulinda na siyo kutuwinda"
Kilichofuatia kazimiwa mic na camera zikaelekezwa kwingine. Baadaye naona wanarudi na TID.
Watu wanatema nyongo live!