[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mitano tena , na bado , mchakato Wa katiba kubadilishwa ili aongezewe muda , lažima namba isomeke vizuriWakuu mimi sijaelewa, hiyo kodi ni Wapinzani tu au hadi sisi tuliomtukana Lissu kipindi cha kampeni?!
Ni jukumu la kila mtanzania kuchangia maendeleo ya nchi yetu tuweke kipaumbele kwenye kulipa kodi kwa kila mzalendo nchi inaendelea kwa kodi na sio vinginevyo lipo kodi kwani mjomba hatakiwi kulipa kodiSherehe nyumbani na jitu wapi na wapi
Wataanza hadi unyago na ngoma za mashetani
Kwa hiyo nyumbani chakula umejinunulia mwenyewe sokoni
Kuku umewatoa banda kwako la kuku ufanye kasherehe ka mtoto kutoka jando
MC mjomba wa mtoto unaenda dai kodi?
Huo ni uhuni kwa sherehe za krimasi na iddi zinszofanyika majumbani watu wanawake hadi mahema mtafuata kodi?
Watu wakiwa wana sherehe ya kupokea mahari au barua ya uchumba mtaenda? Huo ni udhañimu
Kabisa !Wasi sahau Kodi ya kitanda kwa wana ndoa
Kwani upo tayari kupunguza uzao?Nchi hii haina dalili yakupungukiwa majitu majinga
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Tena huku kwetu Tandika mwembeyanga wako wengi mno !
Mkuu, kuna majirani ni shida....Yaani, anafungulia "Hamsemi yakaisha" kwa sauti ya juu na ni 18/7 maana nikitoka ni huo asubuhi nikirudi ni huo huo jioni. Naunga mkono hoja yako, Mkuu.Na viboko kwanza wamesahau kuongeza apo kodi ya uchafuzi wa sauti kila mtu afunguwe redio sauti ambayo jirani hawezi sikia kabisa wala mtu aliyepo nje kwako liwe kosa la jinai
NdomanakeYaani hata sisi wa huku "mbavu za Mbwa" tunaoishi chumba kimoja tumeamua kubariki ndoa....tukachangisha kupata ndoo mbili za mbege na kreti mbili za soda na banana kadhaa...Mwenye yumba kajitolea "venue" uwani kwake..Mc ni Mtoto wa Mjomba, Spika na kinasa sauti tumeazimwa na Mchungaji mwenye banda lake hapo jirani analoliita "Kanisa la vuguvugu".
Na sisi tunahusika na hizo kodi ama?
Tufike mahali tuishi kwa taratibu na sio mazoea nina shukuru Mungu ndiko tunaelekea ziwekwe sheria kila mahali ili kila mtu ajuwe haki yakeMkuu, kuna majirani ni shida....Yaani, anafungulia "Hamsemi yakaisha" kwa sauti ya juu na ni 18/7 maana nikitoka ni huo asubuhi nikirudi ni huo huo jioni. Naunga mkono hoja yako, Mkuu.
Kodi hainaga ukomo ilimradi kuna malipo yana fanyikaLakini hivyo vitu wanavyotumia kwenye hizo sherehe si huwa zinalipiwa kodi, mfano vinywaji, materials za chakula, mafuta kwenye magari n.k, kwa nini makodi mengi mengi sasa
Nchi hii hawataki watu wawe na furaha, duuuuYou knew Sengerema was going to set the precedent.
Sometimes wacha yawakute tu aiwezekani watu wajiamulie mambo na sheria ipo; halafu wahusika kwao iwe hewala tu.
Kesho watasema mechi za ndondo cup kuchezwa lazima walipie tozo ya laki moja ili kuwe na kiingilio.
Kikubwa kwao chochote kinachompa mtanzania starehe nchi ambayo wananchi wake wanatakiwa wawe na manung’uniko according global happiness index lazima kiangaliwe upya na kuitoa hiyo furaha maana ilo jambo ni anasa.
Haya ndio madhara ya kuwa na waziri wa fedha asie mwanasiasa na kura za ushindi aziitaji ushawishi; vinginevyo waziri mwingine yeyote asingekubali huu upuuzi.
Mwisho wa siku anaelipa ni wenye sherehe sio mpishi, MC, mwenye ukumbi wala photographer; just pathetic watu wakikubali huu upuuzi.
Mtu mwanawe kafaulu shule, mzazi amefurahi anataka kumfanyia ka part inabidi aachane na hilo wazo maana kuna tozo za halmashauri zinamsubiri; aisee na wananchi wanadhani this is OK ili swala likipita bila makash kash sasa ndio ntaamini watanzania ni kama kondoo.
Buza kwa mpalange kuna vikundi vya kuchambana , kumchamba mama mkwe ni 120,000 , walipe kodi
Naunga mkono hojaBuza kwa mpalange kuna vikundi vya kuchambana , kumchamba mama mkwe ni 120,000 , walipe kodi
Sasa kuna kipi mtafanya😂??? Kama kwenye kura tu mmechezewa sanaYou knew Sengerema was going to set the precedent.
Sometimes wacha yawakute tu aiwezekani watu wajiamulie mambo na sheria ipo; halafu wahusika kwao iwe hewala tu.
Kesho watasema mechi za ndondo cup kuchezwa lazima walipie tozo ya laki moja ili kuwe na kiingilio.
Kikubwa kwao chochote kinachompa mtanzania starehe nchi ambayo wananchi wake wanatakiwa wawe na manung’uniko according global happiness index lazima kiangaliwe upya na kuitoa hiyo furaha maana ilo jambo ni anasa.
Haya ndio madhara ya kuwa na waziri wa fedha asie mwanasiasa na kura za ushindi aziitaji ushawishi; vinginevyo waziri mwingine yeyote asingekubali huu upuuzi.
Mwisho wa siku anaelipa ni wenye sherehe sio mpishi, MC, mwenye ukumbi wala photographer; just pathetic watu wakikubali huu upuuzi.
Mtu mwanawe kafaulu shule, mzazi amefurahi anataka kumfanyia ka part inabidi aachane na hilo wazo maana kuna tozo za halmashauri zinamsubiri; aisee na wananchi wanadhani this is OK ili swala likipita bila makash kash sasa ndio ntaamini watanzania ni kama kondoo.
Show kali kweri kweriKifuatacho ni kufunga ndoa za mkeka 2 bwana harusi,bibi harusi,sheikh au padri na mashahidi inaidhinishwa ndoa tunapiga ubwabwa kimya kimya then tunasepa zetu