Ndio maana Molel kasema nchi imejaa wajinga,eti exchange rate ndio maelezo ya Wataalamu,hivi hawajui kwamba hicho kivuko tangu 2008 kimeshuka thamani kwa kiasi kikubwa(depreciate)kwahio kukarabatiwa kwa bei kubwa hivyo ni hasara?Sasa kilichobadilika ni nini?
Swali la msingi sana hiliKikisha karabatiwa kitakuwa na uwezo wa kufanya kazi miaka mingapi tena bila kuhitaji marekebisho mengine makubwa?
Je, kikinunuliwa kipya kitakuwa na uwezo wa kufanya kazi miaka mingapi bila kuhitaji ukurabati wa gharama kubwa?
Ndio maana nikashangaaNdio maana Molel kasema nchi imejaa wajinga,eti exchange rate ndio maelezo ya Wataalamu,hivi hawajui kwamba hicho kivuko tangu 2008 kimeshuka thamani kwa kiasi kikubwa(depreciate)kwahio kukarabatiwa kwa bei kubwa hivyo ni hasara?
Haya watuambie kikikarabatiwa kina lifespan ya muda gani mbele kabla hakijafikia ukomo wa maisha?
Pamezuka mjadala kuhusu ukubwa wa gharama za kukarabati MV Magogoni na hasa ukilinganisha na gharama za Kivuko kipya...
Wilboard Slaa has always been fake, mtu anayechomekwa kwenye opposition na system kwa kazi maalum it's stupidity kudhani ameshawahi kuwa 'original'.Enzi za Dr Slaa original pangechimbika!
Ni siri ya Sirikali[emoji15][emoji15]Mbona hawajasema bei ya kipya?
Depreciation a/cNdio maana Molel kasema nchi imejaa wajinga,eti exchange rate ndio maelezo ya Wataalamu,hivi hawajui kwamba hicho kivuko tangu 2008 kimeshuka thamani kwa kiasi kikubwa(depreciate)kwahio kukarabatiwa kwa bei kubwa hivyo ni hasara?
Haya watuambie kikikarabatiwa kina lifespan ya muda gani mbele kabla hakijafikia ukomo wa maisha?
Uongo, ulaghai, utapeli, wizi, dhulma and 'you name it' vyote ni sayansi. Kuna 'facts' ambazo hutumika ili viweze kufanyika kiufasaha na ukizikosea hizo 'facts' mambo hayaendi.Siasa siyo sayansi.
Siasa ni uongo, ulaghai, utapeli, uwizi, dhuruma, you name it.
Sayansi ni vitu vyenye facts hakuna longolongo au ujanjaujanja.
Eti Political Science!!! Makubwa
A very good point, thamani halisi ya sasa ya hicho kivuko baada ya kutumika na kuchakaa ni kiasi gani? Wamefanya estimations kabla ya kuamua kama kikarabatiwe au kinunuliwe kipya?Ndio maana Molel kasema nchi imejaa wajinga,eti exchange rate ndio maelezo ya Wataalamu,hivi hawajui kwamba hicho kivuko tangu 2008 kimeshuka thamani kwa kiasi kikubwa(depreciate)kwahio kukarabatiwa kwa bei kubwa hivyo ni hasara?
Haya watuambie kikikarabatiwa kina lifespan ya muda gani mbele kabla hakijafikia ukomo wa maisha?
KabisaA very good point, thamani halisi ya sasa ya hicho kivuko baada ya kutumika na kuchakaa ni kiasi gani? Wamefanya estimations kabla ya kuamua kama kikarabatiwe au kinunuliwe kipya?
Hapa ndipo ninapoachana kabisa na hawa watu.Bado harufu ya ufisadi haiwezi kuomdoka kirahisi. Kwa nini wakakarabati Kenya, na wakati ndani ya nchibyetu tuna kampuni ya wazawa ya Songoro Marines ambao wana uwezo wa kutengeneneza hata kivuko kipya...
2008 exchange rate haikufika hata 1200 mzee acha fixKwa mwaka 2008 exchange rate haikuwa 1756@1, kwa kipindi hicho ilikuwa inakimbizana Pound, hata Us Dollar yenye ilikuwa exchange rate ilikuwa zaidi ya Tshs 1756 inayotajwa, labda waje na hoja nyingine!.
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Kwahiyo gari mpya kama V8 ya milion 400, inaweza kukarabatiwa kwa milioni 350 miaka 15 baadae? Linawezekana hilo?Pamezuka mjadala kuhusu ukubwa wa gharama za kukarabati MV Magogoni na hasa ukilinganisha na gharama za Kivuko kipya...
Tazama hapo kwenye graph vizuri utaona figure ilikuwa kiasi gani wakati huo.Kwa mwaka 2008 exchange rate haikuwa 1756@1, kwa kipindi hicho ilikuwa inakimbizana Pound, hata Us Dollar yenye ilikuwa exchange rate ilikuwa zaidi ya Tshs 1756 inayotajwa, labda waje na hoja nyingine!.
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Kwanini msinunue kipya ?